Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

aisee hatariii
 
...daah;yani wa kwangu hapo amechukua dalili tisa kati ya 12.!!
kama ndo kweli mbona nitapasuka kwa unene mtoto wa watu.!!!
 
Kuna kabinti kalikuwa kakiniona tu, kanabadilisha njia, hasa nikiwa nimechil sehemu hakapiti, sijui kalikuwa kanamaanisha nini
 
Basi yule binti atakuwa ananipenda aisee maana
 
Mi niliwahi kuona dalili kama hizi kwa mtoto wa kike nikiwa form 3 na kweli nili mla ki ulaini nikakata na utepe mpaka leo anaruka ruka huko siku akini miss tu anaileta mwenyewe japo najua lazima anae mtu wake mi huwa najifanya cfaham kitu nakiri kuna watu wana PHD katika masuala yanayo husu mapenzi huyu cjui kayatoa wapi haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…