Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

kwa kuongezea
13.ukimuita anakuja na kusimama karibu yako zaidi.na ukijaribu kuinua mkono wako umshike bega huoni aki resist.
14.kukuita jina lako huku akilitamka kwa manjonjo flani hivi.
15.akikusogelea karibu unaona mapigo ya moyo wake yanaenda haraka haraka.
But hapo kwenye namba 3 naona kama ulipaliwa mate kidogo.
 
mleta uzi, mimi huo mwandiko wako tu........umeacharaza sana. penye A unaweka HA , Penye HA unaweka A.
 
Kazi kwel kwel. Wengine ni wagumu kama mawe tunakufa nayo moyon tu hakuna hata dalil moja utakayoiona
 
Sawa mkuu.

Na nikitaka kujua anayenipenda hapa JamiiForums?!
Atalike comment zako
 
Utumwa wa lugha.. yaani ungetumia kiswahili ingependeza sana..
 
Utumwa wa lugha.. yaani ungetumia kiswahili ingependeza sana..

Aisee hata sijui kwann ni kuzoea tu man, dnt take it like im showing off or sumthing.

Ila mi ni mzalendo haswaa...perhaps ni sababu ya kuhang out na watu wa aina flan kwa muda mrefu.
 
Aisee hata sijui kwann ni kuzoea tu man, dnt take it like im showing off or sumthing.

Ila mi ni mzalendo haswaa...perhaps ni sababu ya kuhang out na watu wa aina flan kwa muda mrefu.
[emoji119]
 
Hivi Tang'ana hujapataga pesa hadi Leo??Wewe kila topic pesa.Njoo ghetto kwangu nikupatie.
 
"Kweri..Mapenzi matamu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…