Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Kupenda ni subjective, na hata siku moja haitatokea watu wakawa na vigezo sawa vya kumpenda/kutompenda mtu. Kwa hali hiyo, kila mtu atapata anaempenda yeye kama alivyo bila kujali madhaifu yake!
 
And Vice Versa is true!
 
Kupenda mateso bora uchukue unae mpenda kidogo.

lkn kuna hatari ya kukuroga umpende sana.Km ukioa usiye mpenda. Ndo watu wanakuwaga mandondocha.

Ukimpenda mtu then analeta mapepe mroge tuu.

kwa sababu hii chukua unaempenda sanaaa mpaka kichwa kinauma ili akuachie akili zako timamu.

Mloge tu wewe kwa nini me hampendi ulozi??? Au mlirogwa?

Hawezi tafuta dawa ya upendo huyu anajua unampenda tu hata ufanyeje.
 
 
 
nimekupata sana mwanamke hajui anachokitafuta si pesa wala nini !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…