Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
14.Kuvamiwa na panya pamoja na chawa ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Kupiga miayo mpaka machozi yanatoka
2. Kila umuonae unahisi ana matumizu mabaya ya hela
3. Kuwa mtu wa lawama muda wote
4. Kuanza kutamani mawe au matofali unayoyapita mtaani kuwa mkate
5. Kujikakamua wakati wa game ili usifel na kitandani
Tumuachie Mungu tu Tz tumekamatikaDah! Nini kifanyike?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kushindwa kulipa bili za umeme na maji unapoishi..
Kurudia kuvaa nguo chafu.
Kushindwa kufanya usafi mazingira yako.
Kukombeleza mafuta kwenye makopo.
Kuanza kujifichaficha ili watu wasikuone.
Kunywa balimi au safari wakati kinywaji chako ilikuwa Heineken au Windoheck.
Kuanza kuuza uza baadhi ya vitu vyako...
Kuachana na pisi kali kali.
Kutafuta vifurushi vya bei nafuu.
Kushindwa kulipa kodi unapoishi.
Wale washikaji zako na mademu kuacha kukupigia simu.
Kuhamia sehemu ambapo kodi ni nafuu.
Kupungua mwili/Kukonda.
Wengine tuandike uhalisia wa maisha yetu....