Kushindwa kulipa bili za umeme na maji unapoishi..
Kurudia kuvaa nguo chafu.
Kushindwa kufanya usafi mazingira yako.
Kukombeleza mafuta kwenye makopo.
Kuanza kujifichaficha ili watu wasikuone.
Kunywa balimi au safari wakati kinywaji chako ilikuwa Heineken au Windoheck.
Kuanza kuuza uza baadhi ya vitu vyako...
Kuachana na pisi kali kali.
Kutafuta vifurushi vya bei nafuu.
Kushindwa kulipa kodi unapoishi.
Wale washikaji zako na mademu kuacha kukupigia simu.
Kuhamia sehemu ambapo kodi ni nafuu.
Kupungua mwili/Kukonda.
Wengine tuandike uhalisia wa maisha yetu....