Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Wewe ni wa kike?Na umri pia ukienda ni shida wanaume wengi wakifikisha miaka 40 na kuendelea show zao huwa za kizembe balaa
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni wa kike?Na umri pia ukienda ni shida wanaume wengi wakifikisha miaka 40 na kuendelea show zao huwa za kizembe balaa
Hakuna kitu kama hiko, ulikuwa unapiga punyeto kiasi gani mpaka useme it's dangerous..!? Coz unaulizwa na mpigaji maarufu although nimestaafu kidogo [emoji23]
Psychology tu mkuu, mimi nimeanza shule ya msingi n mpk sasa nikitaka napiga na shemeji yako namuwashia moto vizuri tu....[emoji28]
Mi nimeanza ku Piga 2005 pindi nimemaliza mtihan wa mwisho wa form four nikaanza till now lkn Balaa nlilonalo mmh
Psychology tu mkuu, mimi nimeanza shule ya msingi n mpk sasa nikitaka napiga na shemeji yako namuwashia moto vizuri tu....
Hahaha nakupa kazi yakuhesabu then [emoji23][emoji23][emoji23]Days are numbered!!
Umenena...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1666]Haya mambo hutegemea na mwanamke unae mpata...
Kama mashine inasimama, basi nguvu unazo endelea kutafuta pesa..
Hivi kama mtu anaweza kufanya mapenzi kwa zaidi ya nusu saa au saa nzima bila kumwaga cha kwanza. Huyu anakuwa na shida gani??
NB: hatumii dawa zozote za kuongeza nguvu