Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Mbona tunaoga mwee,uchafu gani tena?Ndo hivyo, mfano uchafu ukeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tunaoga mwee,uchafu gani tena?Ndo hivyo, mfano uchafu ukeni
Bado haina mashiko inabidi utafakari zaidi,Matharani ni mkeo wa ndoa lkn amepoteza mvuto kwasababu ya kutojijari Matharani uchafu utapataje hamu ya kumpasua??.
Umezeeka tulia na mkeo mkachezee karata .Kwahiyo toa suruhisho sasa nini kifanyike?
Weka hivyo vinywaji vya asubuhi, na cha nguvu wajue, na je ist sustainable becoming artificially energic with purpose regularly? young men are repeatedly using suppliments to impress women yet women are there to be impressed with in the first place, contrary to most men's assumptions or rather beliefs.Umezeeka tulia na mkeo mkachezee karata .
18-21 wanaume hushauriwa wasipende kusex sana kwa maana mbeleni organs zitachakaa na nguvu kupungua.
Na huo muda mtu akiwa hawezi kumudu mke au mchumba nikutokana na nyuma alikuwa anatumika.
25-28 muda sahihi wa kutafuta mwenzi wa maisha .
Unashauriwa utumike kwa hamu sio kwa kujitosheleza kwa maana kila umbo unalokutana nalo ni tofauti.
Kipimo cha kujamiana ni 2 -3 hii ni afya more than that unajikomoa wewe sio mtu mwingine.
Nguvu hupungua sana.
Nakunastyle ambazo ukiziendekeza unakuwa unachoka mapema.
Kingine kuna vyakula niafya kwa mwanaume aweze himili mkewe.
Mwisho kuna kitu ukinywa nirahisi kukitumia wazungu hutumia wao hujuwa umuhimu wake .
Hiki kinywaji nikizuri tena kwa asubuhi ile ya morning unaamka early unapiga 1 cup unasex vyema huongeza hamasa na huongeza nguvu .
Basi imetoka hiyooo.
we hujamwelewa ye hajakutana nao kasema ukutane na wt wa dizain hio bn au sio green rajab
Punyeto tamu sana aisee, acheni kuisingizia tena ukiwa na mafuta ya Vaseline for men ni raha sana, utamu hadi utosini... CHAPUTA mpo?Wananiboa sana kuisingizia hii kitu aisee
Umesahau hizi pombe Kali za kwenye vichupa vya plastic, zinapunguza madini mengi mwilini.
Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi
Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.
Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za Siri.
Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.
Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke Zinasinyaa .Hapo Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa ila hali hii inasababishwa na Kujichua Yani punyeto au Kutazama video za ngono.(porn addiction)
Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.
Kushindwa kurudia Mara ya Pili - unakuta ukishatoa Wazungu Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.
Mashine kulala Ndani ya Uke ,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.
Sasa hayo Matatizo hayampati Mwanaume kutoka Mbinguni ,Bali Yanavisababishi vyake .
Ukiona Hali Kama hiyo inakupata Kuna kitu kimesababisha.
Sababu yawezekani Ni;
Ulijichua,Umpenzi wa video za ngono,Ulaji wako Ni mbovu-Unakuta ulikuwa Vizuri mwanzoni Lakini baadae unakumbwa na upungufu wa nguvu za kiume.Hapa wengi wana vitambi,uzito mkubwa nk.Wengi wanakula vyakula ambavyo havina virutubisho vya kuupa Mwili Nguvu.Ni vyakula ambavyo Ni Vitamu Mdomoni tu lakini havisaidii chochote Mwilini Bali kuuboa na kuuchakaza pole pole .
Mwili wako Ni zao la kile unachokula.
Usidharau kula ukawa unajilia vyakula vibaya ,matokeo yake utaugua.
Mwisho wa siku ukicheza ngoma ya Wakubwa Hisia zitakuwa Ni za kutafuta na tochi
hahhaha mybe stori za vijiwen hapa na pale ndo akawajulia hapo au vpAliwajuaje?! Na wewe ndio msemaji wake?!
goodUmesahau hizi pombe Kali za kwenye vichupa vya plastic, zinapunguza madini mengi mwilini.
Ni kinywaji gan icho sasa mkuu mbona ukitaji tusaidike woteUmezeeka tulia na mkeo mkachezee karata .
18-21 wanaume hushauriwa wasipende kusex sana kwa maana mbeleni organs zitachakaa na nguvu kupungua.
Na huo muda mtu akiwa hawezi kumudu mke au mchumba nikutokana na nyuma alikuwa anatumika.
25-28 muda sahihi wa kutafuta mwenzi wa maisha .
Unashauriwa utumike kwa hamu sio kwa kujitosheleza kwa maana kila umbo unalokutana nalo ni tofauti.
Kipimo cha kujamiana ni 2 -3 hii ni afya more than that unajikomoa wewe sio mtu mwingine.
Nguvu hupungua sana.
Nakunastyle ambazo ukiziendekeza unakuwa unachoka mapema.
Kingine kuna vyakula niafya kwa mwanaume aweze himili mkewe.
Mwisho kuna kitu ukinywa nirahisi kukitumia wazungu hutumia wao hujuwa umuhimu wake .
Hiki kinywaji nikizuri tena kwa asubuhi ile ya morning unaamka early unapiga 1 cup unasex vyema huongeza hamasa na huongeza nguvu .
Basi imetoka hiyooo.
Mlinihadaa humu sana nampaga wangu tu huku sijaona wakumwambia wslinitusii.
Nidokeze ata pm[emoji39]Mlinihadaa humu sana nampaga wangu tu huku sijaona wakumwambia wslinitusii.
Ila hiki kinywajini ordinary kabisa wengi wanakunywa ilahawajua ndio tiba ukinywa wiki mbili na diet fula ni basi unaanza kusifiwa kidume.
Wakati mwingine uwanja wa kazi unakatisha stimu, unakuta vipaja vyembamba Kama mkono, madoadoa, harufu ya uwozo, hivyo vyote upelekea uume kulegea sana.
Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi
Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.
Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za Siri.
Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.
Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke Zinasinyaa .Hapo Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa ila hali hii inasababishwa na Kujichua Yani punyeto au Kutazama video za ngono.(porn addiction)
Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.
Kushindwa kurudia Mara ya Pili - unakuta ukishatoa Wazungu Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.
Mashine kulala Ndani ya Uke ,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.
Sasa hayo Matatizo hayampati Mwanaume kutoka Mbinguni ,Bali Yanavisababishi vyake .
Ukiona Hali Kama hiyo inakupata Kuna kitu kimesababisha.
Sababu yawezekani Ni;
Ulijichua,Umpenzi wa video za ngono,Ulaji wako Ni mbovu-Unakuta ulikuwa Vizuri mwanzoni Lakini baadae unakumbwa na upungufu wa nguvu za kiume.Hapa wengi wana vitambi,uzito mkubwa nk.Wengi wanakula vyakula ambavyo havina virutubisho vya kuupa Mwili Nguvu.Ni vyakula ambavyo Ni Vitamu Mdomoni tu lakini havisaidii chochote Mwilini Bali kuuboa na kuuchakaza pole pole .
Mwili wako Ni zao la kile unachokula.
Usidharau kula ukawa unajilia vyakula vibaya ,matokeo yake utaugua.
Mwisho wa siku ukicheza ngoma ya Wakubwa Hisia zitakuwa Ni za kutafuta na tochi
heyheyheyWakati mwingine uwanja wa kazi unakatisha stimu, unakuta vipaja vyembamba Kama mkono, madoadoa, harufu ya uwozo, hivyo vyote upelekea uume kulegea sana.
Jamani unajua nakumbuka enzi za uchokoraa i mean uwembamba gari inapaki inanipa penzi zuri tu ila chakushangaza mie sichoki yeye kashachoka yaani nilikuwa nampa mtu manjonjoo mpaka anachoka analegea watu wembamba ni fire ila mimi nimenenepa sana due to uzazi.Wakati mwingine uwanja wa kazi unakatisha stimu, unakuta vipaja vyembamba Kama mkono, madoadoa, harufu ya uwozo, hivyo vyote upelekea uume kulegea sana.