kwenye hili suala la nguvu za kiume tunadanganyana sana
wanaume ili ufanye lile tendo kikamilifu akili inatakiwa kuwa imetulia sana, kuna factors nyingi sana huathiri hamu ya tendo
mfano:
[emoji117]msongo wa mawazo
[emoji117]Hofu
[emoji117]mwanamke kukosa mvuto kwa sababu za usafi ama umekutana na pango
[emoji117]mwanamke kutoshirikiana na mwanaume wakati wa tendo
[emoji117]kumzoea mwanamke
Kuna wakati unapata mwanamke aliyekidhi vigezo vyako ukajikuta unapiga shoo moja matata mpaka ww mwenyewe unashangaa.
ama unapata mtoto anashughulika ukajikuta unapga round za kutosha bila kusubiri ureload kwanza
As long as unaamka asubuhi mrana unasoma H+, achana na porojo za kitaa.....kula vizuri, fanya mazoezi na utafute pesa tuu.....wanawake hawaridhiki!