Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Ndugai alistahili alichopewa. Huwezi kuwa na nyumba halafu ukawa Kibaraka wa mwenye nyumba.Unaita kibibi wakati juzi ulikuwa unamshangilia alipomchamba Ndugai?
Kichambo kile hakiondoi Bali kinadhihirisha udhaifu wa mama.