Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

CCM itatangazwa mshindi lakini hawatashinda Kura. Mfumo unawabeba

Pamoja na hayo mh Rais natumai atakuwa amejifunza mambo mengi sana muhimu kuhusu Tanzania na Watanzania.

Natumai miaka yake mi4 ya mwisho atayafanyia kazi bila hivyo atamweka mahali pagumu zaidi atakayegombea 2025.
Tabia ya mtu ngozi we uoni anaendelea kuahidi ndege azungumzii maendeleo ya watu sio kipaumbele chake
 
Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!

Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.

Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.

CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!

Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM![emoji1542][emoji1542][emoji1542] Maono yenye uhalisia mwingi
 
True pia Mungu alimleta Dr visasi ili chama chakavu kife.kinabii kupiga magoti Ni kusalimu amri,nashaangaa Sana mapolisi kumuogopa mtu ambae atorudi Tena October kwani anakuwa raia wa kawaida tu
 
Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!

Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.

Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.

CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!

Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Vipi anga bado limekataa au?
 
Mmeona CCM hakushinda na hilo hamuwezi kulifuta, ushindi weni mnaojilabu nao mwisho wake ni ndani ya nyumba zenu ,humo humo ,ila uraiani subuuutu .Mtaelewa kama embe ni tunda,wananchi hawana haraka kabisa wamepowa tu,wanawaangalia mnavyohangaika na ushindi bandia,alieshinda hahangaiki namna mnayofanya.mara vikao,mara waboda boda mara wamachinga ,mara wauza ntlie,yote ya nini na nyinyi mmeshinda ?
Ushindi ni humohumo ndani ya nyumba yako ukitoka ujijue hukushinda na unatambuliwa kama looser.
 
Endelea kujipa moyo ili usije kufa na stress.
 
Write your reply...
Hivi mtoto wa maskini kijijini kasoma kwa mkopo ajira hajapata atalipaje huo mkopo? Bora hata wangewezesha vijana ili hiyo mikopo ilipwe,tusiongee kishabik tuangalie Hali halisi ya taifa kwa upande wa ajira huwezi kutetea wamepuyanga sio vijana tu wanaochukia hadi wazazi walioteseka kusomesha.
 
Tunaendelea kukumbushana..... CCM imekataliwa naturally ni suala la muda tu.
 
Leo ni maandishi mengine ukutani
 
Back
Top Bottom