mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
CCM itatangazwa mshindi lakini hawatashinda Kura. Mfumo unawabebaAaah wewe, CCM inashinda kwa aslimia 85 kwenda juu. Mimi nazunguka sana kuhojiana na watu hasa bodaboda, mamantilie, washona viatu, mafundi cherehani n.k. Magufuli ametubeba Sana kwa Utekelezaji mzuri wa ilani ya chama.
Nyie andikeni tuubhumu usiku mnalala. Sisi wenzenu tunaandika na tunai gia Mtaani kumwaga sera. Tukikutana na mambo yasiyoeleweka tunatoa ufafanuzi wananchi wanaelewa. Nyie kaeni mseme tuu mtaibiwa kura
Pamoja na hayo mh Rais natumai atakuwa amejifunza mambo mengi sana muhimu kuhusu Tanzania na Watanzania.
Natumai miaka yake mi4 ya mwisho atayafanyia kazi bila hivyo atamweka mahali pagumu zaidi atakayegombea 2025.