LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Huja msikia Pm akimpa moyo Sharif Majini juzi? Labda ana taka aandae paka..Nguvu za giza zimewakataa pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huja msikia Pm akimpa moyo Sharif Majini juzi? Labda ana taka aandae paka..Nguvu za giza zimewakataa pia
Ndoto za mchanaWahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.
CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!
Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
No. You are wrong. They have every instrument to forcefully remain in power. The entire electoral commission is comprised of CCM zealots. The security system including the police force, and the judiciary are all out to protect them. Refer Dr. Bashilu's statement.Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.
CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!
Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Yahya Jammeh licha ya kujaza ndugu zake kwenye tume bado alichinjiwa baharini.No. You are wrong. They have every instrument to forcefully remain in power. The entire electoral commission is comprised of CCM zealots. The security system including the police force, and the judiciary are all out to protect them. Refer Dr. Bashilu's statement.
Avatar yako tu inazungumza yote usingepoteza muda wako kuandika huu utopolo
Zaidi naona CCM inaelekea kuungana, kurudisha Wahenga (Strategists), Lakini yote yatategemea ZANUPF kama itaangushwa au La.Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.
CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!
Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Bila kuonea huruma...Lazima apigwe kote kote
Aaah wewe, CCM inashinda kwa aslimia 85 kwenda juu. Mimi nazunguka sana kuhojiana na watu hasa bodaboda, mamantilie, washona viatu, mafundi cherehani n.k. Magufuli ametubeba Sana kwa Utekelezaji mzuri wa ilani ya chama.Halafu maccm yajifanye kufanya ule mchezo wa Jecha kitanuka walai mwaka huu
Endeleeni kuota. Watanzania wametuelewaMbele ya Lissu hawakatizi hata mtaa, watabanwa hatari
Wanaokubali chadema ni wale ambao wanakaa vijiweni na wasiopenda maendeleo chanya .halafu baadae mje mseme nchi toka uhuru haina ndege zake zenyewe. Kijana unaamka unaenda kukaa kijiweni au kucheza pool halafu unataka ukopeshwe na Serikali. mkopo wa chuo hujalipa unataka ukopeshwe mwingine