Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
True zipo fact hadi sasa ccm bye bye upinzani nyia nyeupe.
1.Mama hausiki bara ajenda ya uzanzibar na uanamke ni ngeni kwa wengi.
2.Tozo
3.vitu bei juu hasa vifaa vya ujenzi
4.Ccm hawana mtu anaeuzika kwa sasa
5.ishu ya machinga
6.Ishu ya Mbowe
7.Hakuna tena mwenye ubavu wa kuwalazimisha wakurugenzi waibe kura,kupita bila kupingwa hakupo tena.
8.sukuma gang,waunga juhudi,covid 19,na chawa wa Magu wapo kinyume na mama.
9.Wapiga kura wengi ni vijana ambao awaijui ccm, wanachama wengi wa ccm ni wazee idadi yao inapungua KILA siku.
10.Ugumu wa maisha kwa watz wengi wanakwenda iadhibu vibaya sana ccm