Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
WajvmBe tvnakinvkisha
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada unaonekana umepanic sana!Haya ndio matokeo ya kufanya research kupitia coment za hapa jf na kwenye magroup ya chadema!
Tz ni kubwa jamani hawa walioko huku mitandaoni ni tone tu!
Kingine nmeona kwenye post za BBC kule facebook kuhusu Lisu, coment za raia wengi wa kule upepo haupo kwa Lisu kabisa.
Ndio atapiga kura kumuwezesha Lisu kuwa rais?Unamjua international lawyer aitwaye Amsterdam wewe?
Ccm itashinda kwa kura nyingi zaidi ya uchaguzi wa 2015Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea October 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania...
Sasa mbona we ndio umepanic kwa kumuita mtu usiemjua dada?Dada unaonekana umepanic sana!
Namba zimeikataa CCM! Kama huamini suburi utajionea.
Bado sana kuelewa hii game ninyi!Wapiga kura hata huku Namtumbo wapo na bado wana hasira na soko la korosho.
We dada shida yako una mihemko ya dhiki na chuki dhidi ya CDMSasa mbona we ndio umepanic kwa kumuita mtu usiemjua dada?
Nenda facebook kwenye page za BBC na VOA uone maoni ya raia kuhusu Lisu! Na wale ndio wapiga kura!
Au wewe unategemea maoni mnayopeana huko kwenye magroup yenu ya chadema?
Kura za kumuwezesha Lisu ziko huku field ambako Lisu hana ushawishi wowote.
Ndio ujinga wenu kuhisi kila mtu yuko Lumumba!Huyo dogo anajifariji tu hapo Lumumba
Hahahah... Ikifika oktoba uangalie vizuri pichu hiyo usije ukaivaa kichwani maana hutaamini unachokisikia kwamba huyo Lisu wako hata 20% ya kura hajapataWe dada shida yako una mihemko ya dhiki na chuki dhidi ya CDM
Ila mwambieni huyo kamongo mwaka huu anarudi Chato kulima furu
Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea October 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea October 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.
CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!
Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Aiseeeee.Jiwe na kundi lake wana hali ngumu Sana. Jiwe anaweza akajitoa kwenye kinyang'anyiro.
Tatizo unafananisha urais na uenyekiti wa chadema!Mwambie Jiwe ajiandae kurudi chato au akimbie nchi.