Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
- Thread starter
- #61
Labda kama wewe ni mwanaume na ulipopewa hii ID na password hapo lumumba hukupewa descriptions z mtumiaji wa kwanza alikua akijitambulishaje hapa!Wewe unaniita mimi dada unanifahamu?
Sasa huoni kama wewe ndio mpumbavu?
Hili ndo tatizo la hapo Lumumba unapewa tu password bila kujua aliyewahi itumia hyo ID alikuwaje.
Crimea niliyezoea kumsoma ni mwanamke tena wa daraja ya Chini aliyejaa wivu, husda, chuki na hila ya hali ya juu. Cheki hata avatar inatambulisha Crimea ni mwanamke wa namna gani.
Sorry najua umechukua zamu mpya na mwajiri hajakupa wajihi wa Crimea.