Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!

Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.

Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.

CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!

Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Wataalam wa nyota mwabieni anga limemkataa asilazimishe nyota.
 
halafu baadae mje mseme nchi toka uhuru haina ndege zake zenyewe. Kijana unaamka unaenda kukaa kijiweni au kucheza pool halafu unataka ukopeshwe na Serikali. mkopo wa chuo hujalipa unataka ukopeshwe mwingine
Kwani wewe nyumbani ukinunua nyama ndio sababu ya kutambaza bakora kisa umenunua nyama?? Ukiulizwa kwanini unatesa familia yako utasema wakuache kwa kuwa umenunua nyama? KIPANDE una mawazo ya kimasikini sana.
 
Ila CDM kwa kujipa matumaini fake wako vizuri.

Iko hivi kuhusu nafasi hiyo haliwezekani kabisa hata mfanyeje.

Lengo letu CCM ni kuhakikisha tunachukua majimbo ya yote ya uchaguzi na kuongoza Halmashauri zote.

Kama mnafikiri tunataniw naomba tukutane oktoba 28....muone mtakavyopigwa na kuchakaa.
 
Asa long as mtaweka bunduk pembeni na policcm wakae pembeni kuangalia mtanange wa amani sisi hatuna shida.
 
Msijidanganye mnao kaa Dar....kazi bado hata robo hamjaifikia,nawaonea huruma kwa jinsi mnavytiana moto...kazi ndio imeanza tu.
 
Msijidanganye mnao kaa Dar....kazi bado hata robo hamjaifikia,nawaonea huruma kwa jinsi mnavytiana moto...kazi ndio imeanza tu.
Zamani mlikuwa mnasema chadema iko dar badae wabunge asilimia 70 wakatoka mikoani. Badae mkasema aah wapi wamejaa mitandaoni tu. Mtatapa tapa mwaka huu.
 
Mkuu, hata mfanya mazingaombwe huwa anaishiwa tricks ... na hapo ndipo panakuwa mwisho wa maonyesho.

Kwa kweli CCM is running out of tricks. New tricks are required for them to survive in this game. This time around naamini watashinda kwa ubabe ... lakini by 2025 haitawezekana. I can imagine wagombea wa CCM 2025 ..... Mwigulu, Kigwa, January, Makonda, Tulia, Polepole, Bashiru, Kabudi .... Tuombee Corona isituchafulie hewa!!
Mnauhakika na propaganda zenu hizi mtaiondoa ccm madarakani kwa akili zenu hizohizo?
 
Tundu Lissu ameweka historia katika nchi yetu, watoto wetu na vizazi vijavyo vitasoma habari ya kijana kutoka Singida Mashariki aliyebadili upepo wa siasa Tanzania.
Nilishasema siendi kupiga kura Ila sasa ivi Kuna kitu Kama nakiwaza....
 
Unaweza kuta wale wote wanatoa mapovu hawana hata kadi ya kupiga kura au hawajahakiki records zao kwa ajili ya kupiga kura
 
Unaweza kuta wale wote wanatoa mapovu hawana hata kadi ya kupiga kura au hawajahakiki records zao kwa ajili ya kupiga kura
Wait and see...

Anga limeikataa CCM
 
Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!

Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.

Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.

CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!

Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Ngoja jobless anaesubiria CCM ipite atakuja hapa na kukutukana matusi mazito sana
 
Back
Top Bottom