Watanzania watamshangaza Sana Magufuli kama vile walivyofanya wajumbe kwa wabunge majimboni. Hatoamini macho yake.Hahahhaha.. Mnachekesha kweli nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania watamshangaza Sana Magufuli kama vile walivyofanya wajumbe kwa wabunge majimboni. Hatoamini macho yake.Hahahhaha.. Mnachekesha kweli nyie
Wataalam wa nyota mwabieni anga limemkataa asilazimishe nyota.Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.
CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!
Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Anajipa moyp huyo jamaa na dalili zote zinaonesha wakuu wa giza na mapepo wameshindwa vibaya mno.Wapiga kura hata huku Namtumbo wapo na bado wana hasira na soko la korosho.
Kwani wewe nyumbani ukinunua nyama ndio sababu ya kutambaza bakora kisa umenunua nyama?? Ukiulizwa kwanini unatesa familia yako utasema wakuache kwa kuwa umenunua nyama? KIPANDE una mawazo ya kimasikini sana.halafu baadae mje mseme nchi toka uhuru haina ndege zake zenyewe. Kijana unaamka unaenda kukaa kijiweni au kucheza pool halafu unataka ukopeshwe na Serikali. mkopo wa chuo hujalipa unataka ukopeshwe mwingine
Asa long as mtaweka bunduk pembeni na policcm wakae pembeni kuangalia mtanange wa amani sisi hatuna shida.Ila CDM kwa kujipa matumaini fake wako vizuri.
Iko hivi kuhusu nafasi hiyo haliwezekani kabisa hata mfanyeje.
Lengo letu CCM ni kuhakikisha tunachukua majimbo ya yote ya uchaguzi na kuongoza Halmashauri zote.
Kama mnafikiri tunataniw naomba tukutane oktoba 28....muone mtakavyopigwa na kuchakaa.
😅😅😅Acha panic na hasira!! This time CCM mnakabidhi nchi!View attachment 1527050
Zamani mlikuwa mnasema chadema iko dar badae wabunge asilimia 70 wakatoka mikoani. Badae mkasema aah wapi wamejaa mitandaoni tu. Mtatapa tapa mwaka huu.Msijidanganye mnao kaa Dar....kazi bado hata robo hamjaifikia,nawaonea huruma kwa jinsi mnavytiana moto...kazi ndio imeanza tu.
Hiyo ni ndoto, si rahisi kihivyoJiwe na kundi lake wana hali ngumu Sana. Jiwe anaweza akajitoa kwenye kinyang'anyiro.
Mnauhakika na propaganda zenu hizi mtaiondoa ccm madarakani kwa akili zenu hizohizo?Mkuu, hata mfanya mazingaombwe huwa anaishiwa tricks ... na hapo ndipo panakuwa mwisho wa maonyesho.
Kwa kweli CCM is running out of tricks. New tricks are required for them to survive in this game. This time around naamini watashinda kwa ubabe ... lakini by 2025 haitawezekana. I can imagine wagombea wa CCM 2025 ..... Mwigulu, Kigwa, January, Makonda, Tulia, Polepole, Bashiru, Kabudi .... Tuombee Corona isituchafulie hewa!!
Nilishasema siendi kupiga kura Ila sasa ivi Kuna kitu Kama nakiwaza....Tundu Lissu ameweka historia katika nchi yetu, watoto wetu na vizazi vijavyo vitasoma habari ya kijana kutoka Singida Mashariki aliyebadili upepo wa siasa Tanzania.
Ngoja jobless anaesubiria CCM ipite atakuja hapa na kukutukana matusi mazito sanaWahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea Oktoba 28 ambayo yatabadili kabisa mwelekeo na upepo wa CCM dhidi ya upinzani.
CCM imeishiwa pumzi kabisa na kwa wataalamu wa alama za nyota tunaweza thibitisha hili kwamba upepo si mzuri kwa CCM na ile 'hewa' imeondoka kwenye paa la CCM!
Namba hazikubali kwa CCM na kwa mazingira haya Tanzania inakwenda kuandika historia mpya!
Inakera Sana basi tuCCM inabebwa na vyombo vya dola, ccm bila kubebwa kwisha