Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Dada unaonekana umepanic sana!

Namba zimeikataa CCM! Kama huamini suburi utajionea.
 
Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!

Kuelekea October 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania...
Ccm itashinda kwa kura nyingi zaidi ya uchaguzi wa 2015
 
Dada unaonekana umepanic sana!

Namba zimeikataa CCM! Kama huamini suburi utajionea.
Sasa mbona we ndio umepanic kwa kumuita mtu usiemjua dada?

Nenda facebook kwenye page za BBC na VOA uone maoni ya raia kuhusu Lisu! Na wale ndio wapiga kura!

Au wewe unategemea maoni mnayopeana huko kwenye magroup yenu ya chadema?

Kura za kumuwezesha Lisu ziko huku field ambako Lisu hana ushawishi wowote.
 
Wapiga kura hata huku Namtumbo wapo na bado wana hasira na soko la korosho.
Bado sana kuelewa hii game ninyi!

Alafu vipi kile kilio chenu cha tume huru naona mmeshapata uvumbuzi kupitia Lisu?
 
We dada shida yako una mihemko ya dhiki na chuki dhidi ya CDM

Ila mwambieni huyo kamongo mwaka huu anarudi Chato kulima furu
 
Huyo dogo anajifariji tu hapo Lumumba
Ndio ujinga wenu kuhisi kila mtu yuko Lumumba!

Ni kwambie tu, wakati kama huu 2015 Lowasa alikuwa ameshazunguka nchi nzima na ana ufuasi wa kutishwa,
Kwenye kampeni kazi yake ilikuwa n8 kukusanya tu mafuriko na wafuasi wake kuzungushwa mikono na kudekishwa barabara.

Haya niambie Lisu ana nini mpaka sasa hivi zaidi ya ushawishi kwa kundi dogo sana pale chadema?
 
We dada shida yako una mihemko ya dhiki na chuki dhidi ya CDM

Ila mwambieni huyo kamongo mwaka huu anarudi Chato kulima furu
Hahahah... Ikifika oktoba uangalie vizuri pichu hiyo usije ukaivaa kichwani maana hutaamini unachokisikia kwamba huyo Lisu wako hata 20% ya kura hajapata
 
 
Hahahah... Ikifika oktoba uangalie vizuri pichu hiyo usije ukaivaa kichwani maana hutaamini unachokisikia kwamba huyo Lisu wako hata 20% ya kura hajapata
Mwambie Jiwe ajiandae kurudi chato au akimbie nchi.
 
Mbona uku mtaani CCM ipo shwari tu.au mtoa mada amelala usingizi mzito unaota!?.
 
Pengine unabii wa Mene, Mene, Tekeli & Peresi u mbioni kutimia. Huku neno Peresi likiwakilisha vyama vya CDM na ACT Wazalendo ili neno hili la kinabii likafikie ukamilifu wake wote.
 
Tatizo unafananisha urais na uenyekiti wa chadema!

Haya niakuache uendelee kujifariji
Shida hujui kiwa maisha ni namba na namba zimeikataa CCM!

Historia inakwenda kubadilika october 28 nukuu kauli yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…