Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo karibukaribu mno, yaani wakati mwingine chini ua kilometa moja. Hapa kuna harufu kali ya upigaji wa hela ambazo ni mikopo ghali kutoka taasisi za nje lakini tunalipa sisi wananchi. Haya mavituo model yake wameipata wapi, mbona Japan, Korea, China ambako zipo hizi mwendokasi hakuna mavituo makubwa na marefu namna hii?