Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Edorgan leo anaipiga mkwara Iran na Russia? Kweli nimeamini middle East ni wehu.
Mturuki bado ana hangover ya ottoman empire!

Ngoma ya wakubwa bado haiwezi, yaani ile kutunushiana misuli na wakubwa bado, ataumia tu!

Vita ya nyuma hapo Syria wanajeshi wake wengi waliuliwa na mavifaru yake kulipuliwa.
 
Kwa jinsi ninavyoona safari hii hadi Mabalozi na Wanadiplomasia wa Nchi za Magharibi na Nchi za Kiarabu wameanza kuondoka.

Wamegundua Assad na Ayatolah wake hawatoboi.
Ni stretijia za kivita bwana mdogo!

Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?

Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
 
Safari hii Urusi wako bize na Ukraine Ayatolah na Hezbola hoi bin taabani.

Majeshi ya Assad na Wanamgambo wa Kishia wameanza kukimbia na kurudi Homs na Damascus.
 
🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa jinsi ninavyoona safari hii hadi Mabalozi na Wanadiplomasia wa Nchi za Magharibi na Nchi za Kiarabu wameanza kuondoka.

Wamegundua Assad na Ayatolah wake hawatoboi.
Endeleeni kuota
 
Safari hii Urusi wako bize na Ukraine Ayatolah na Hezbola hoi bin taabani.
Ndivyo unavyodhani?

Hujasikia Wagner wanaachiwa kwenda Syria?

Hujasikia Iran kapeleka glide bombs za kutosha?

Hujasikia Iran kapeleka special force?

Hujasikia thousands and thousands wapiganaji kutoka Iraq wanaingia Syria?

Halafu wanajeshi wa Syria wame withdrew kutoka kwenye huo mji uliyotekwa na waasi!

Hii vita bado ni mbichi!

Hao wanasubiriwa waingie ndani kabisa, ili kipondo cha uhakika kikianza kitaacha historia hapo!
 
Ni stretijia za kivita bwana mdogo!

Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?

Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
Itakua wakati ule hakua amezaliwa tena waasi walipata asapoti full kabisa toka kwa wa magharibi ikiwemo ya anga ila ngoja tuone
 
Ndivyo unavyodhani?

Hujasikia Wagner wanaachiwa kwenda Syria?

Hujasikia Iran kapeleka glide bombs za kutosha?

Hujasikia Iran kapeleka special force?

Hujasikia thousands and thousands wapiganaji kutoka Iraq wanaingia Syria?

Halafu wanajeshi wa Syria wame withdrew kutoka kwenye huo mji uliyotekwa na waasi!

Hii vita bado ni mbichi!

Hao wanasubiriwa waingie ndani kabisa, ili kipondo cha uhakika kikianza kitaacha historia hapo!
Hata mara Ile walibeba beba maeneo sana ila khatimae
 
Itakua wakati ule hakua amezaliwa tena waasi walipata asapoti full kabisa toka kwa wa magharibi ikiwemo ya anga ila ngoja tuone
Hawaelewei hawa!

Halafu kuteka mji siyo kazi, kazi kuushikilia!

Na kingine, hao magaidi wa Isis na wawaturuki hawatumii akili! Wanajeshi wa Syria wanaondoka kwenye miji nyinyi mnakimbilia na kujiona mmekomboa kumbe mnavutwa muingie ndani kabisa!

Wakianza kupigwa watakatiwa logistic route watabaki kama wakiwa. Bado hawajifunzi kutoka Ukraine.
 
Na ndio ukweli kuteka mji rahisi ila kuushikilia sasa ila ngoja tuone
 
Back
Top Bottom