Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Ndivyo unavyodhani?
Kuna kudhani na kuna yanayoonekana
Hujasikia Wagner wanaachiwa kwenda Syria?
Wagner ipi hiyo? Hao Wager waliishia wapi kule Ukraine hadi Russia akaenda kuomba wanajeshi North Korea? Wagner imebaki story tu.
Hujasikia Iran kapeleka glide bombs za kutosha?

Hujasikia Iran kapeleka special force?
Unamuongelea Iran aliyeishia kuwaponza Hezibollah na Hamas? Hiyo special force mbona hakuwapelekea iwasaidie?
Hujasikia thousands and thousands wapiganaji kutoka Iraq wanaingia Syria?
Wameshafutwa wote, ina maana haujasikia Iran akilia kuangamizwa kwa hao?
Halafu wanajeshi wa Syria wame withdrew kutoka kwenye huo mji uliyotekwa na waasi!
Kwa hiyo?
Hii vita bado ni mbichi!

Hao wanasubiriwa waingie ndani kabisa, ili kipondo cha uhakika kikianza kitaacha historia hapo!
Ndiyo kwa mujibuwa taarifa walizo kupenyezea wewe?
 
Hii habari si mpya!

US aliisaidia ISIS pakubwa miaka ya nyuma ila walifikia wapi? Wote walipelekwa jikoni!

US hana maisha marefu hapo Syria. Ajiandae kuondolewa.
Ustazi maneno mengi mbona hakuna action kwenye Battlefield?!
 
Safari hii Ustazi ndio mwisho wa Assad hadi kamuomba Netanyahu kupitia Saudia kuwa atawaondoa IRGC na kuwarudisha Iran Netanyahu kamtolea nje😆😁
Wewe naye kichwa maji sana!

Iran na Russia wakiongeza ndege zao kushambulia Syria hao magaidi unadhani ni nini kitakachotokea?

Unashiriki mijadala mingi lakini bado ubongo wako hauna ukomavu wa kuangalia mambo kwa kina.
 
Ustazi maneno mengi mbona hakuna action kwenye Battlefield?!
Wewe ubongo wako tunaujua jinsi ulivyo!

Baki kuwa mpenzi mfuatiliaji, baadaye muda utakujibu halafu utarudi kuona una upeo mdogo kwa kiasi gani!
 
Ni stretijia za kivita bwana mdogo!

Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?

Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
Nimefuatilia comments zako nyingi inaonekana hii offensive ya waasi imekutouch sana aisee! Sometimes unajaribu kuleta habari za kujifariji hata za kupotosha lakini mwisho wa siku mambo kwa ground ndio hivo

Kwa nini umeumia hivi mkuu!?
 
Kuna kudhani na kuna yanayoonekana

Wagner ipi hiyo? Hao Wager waliishiawapi Ukraine hadi Russia akaenda kuomba wanajeshi North Korea? Wagner imebaki story tu.

Unamuongelea Iran aliyeishia kuwaponza Hezibollah na Hamas? Hiyo special force mbona hakuwapelekea iwasaidie?

Wameshafutwa wote, ina maana haujasikia Iran akilia kuangamizwa kwa hao?

Kwa hiyo?

Ndiyo kwa mujibuwa taarifa walizo kupenyezea wewe?
Wewe Jamaa umevunja mbavu zangu walahi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tupate matangazo kidogo 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍
Screenshot_20241205-155044.png
 
Back
Top Bottom