Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Huo ni uongo.
Hao waasi wa kisuni wanadhaminiwa na Uturuki na Uturuki na wakrudi haziivi.
Hata hizi sarakasi zote ni Uturuki kuwadhibiti wakrudi.
Sasa wewe unapinga kama nani wakati wao wamekubaliana kugawana Keki?!

Isitoshe Wakurdi wenyewe ni Sunni.

Waturuki mnawalaumu Wazayuni mnawalaumu Wasunni mnawalaumu ninyi mnachopenda ni Ayatula Hamas na Hezbola.
 
Hizbullah wengi walemavu wanatembelea magongo na wheelchair zile show show walizotembezewa na myahudi zinaitwa Mwana nkome zilikuwa SI haba.
 
Hapa kwa makali ya drone umetupiga kamba zile drone dhaifu sijapata ona ndio maana hata Ukraine kazikimbia
Drones za Uturuki zimepiga air defense systems za Urusi hapo Syria hadi Libya. Kama unabisha videos zipo nyingi katafute.

Uturuki ndio ilituma drone Iran kutafuta helicopter ya Raisi iliyodondoka milimani kwenye ukungu. Wairan walitafuta zaidi ya masaa 40 hamna kitu, drone ya Uturuki hata masaa mawili haikumaliza.
 
Nafuatilia kwa ukaribu sana hizi newz haimanishi ndio nimeunga trela siungi mkono waasi kwakua wao wameungana na Western na West hawanaga ubia na waislam wao ni kuharibu hivyo Syria inaenda kuwa zaidi Libya
Baba lao iran yuko wapi? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kuna mtu aliawahi kuuliza Israel ilishindaje vita siku 6 ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.

Sasa hili Jeshi la Assad lingekuwa linapigana na IDF lingeweza kumaliza hata siku ?

Israel ingechukua Damascus siku Moja tu
Ingemaliza kwanza kwa hizbullah na hamas walau tungeelewa
 
Huo ni uongo.
Hao waasi wa kisuni wanadhaminiwa na Uturuki na Uturuki na wakrudi haziivi.
Hata hizi sarakasi zote ni Uturuki kuwadhibiti wakrudi.
Sifa anapew mturuki sasa sio israel iliotoa silaha za hesbullah zilizokamatwa lebanon? ๐Ÿคฃ
 
Ngoja tuone
 
Asante kwa ilim ya huko mkuu. Nakuaminia sana. Umesoma na unaendelea kusoma. Ndiyo maana umeelimika mkuu. Busara yako huwa inaonekana siyo kama wengine ambao sitaki kuwataja hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ