imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sasa wewe unapinga kama nani wakati wao wamekubaliana kugawana Keki?!Huo ni uongo.
Hao waasi wa kisuni wanadhaminiwa na Uturuki na Uturuki na wakrudi haziivi.
Hata hizi sarakasi zote ni Uturuki kuwadhibiti wakrudi.
Isitoshe Wakurdi wenyewe ni Sunni.
Waturuki mnawalaumu Wazayuni mnawalaumu Wasunni mnawalaumu ninyi mnachopenda ni Ayatula Hamas na Hezbola.