Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Drones za Uturuki zimepiga air defense systems za Urusi hapo Syria hadi Libya. Kama unabisha videos zipo nyingi katafute.

Uturuki ndio ilituma drone Iran kutafuta helicopter ya Raisi iliyodondoka milimani kwenye ukungu. Wairan walitafuta zaidi ya masaa 40 hamna kitu, drone ya Uturuki hata masaa mawili haikumaliza.
Naona umeamua kupotosha mambo makusudi kupiga air defense za Russia ndio kigezo cha ubora mbona Ukraine hawazitumii tena kule kwao against Russia ila kongole pia sikujua kama ulikua unaongelea zile drone za vita ila ghafla ukaingia kwenye drones za kufanyia surveillance unaongelea nini kwani
 
Uwanja umeinama naungana na ITR Assad asipotoka mara hii hatakaa atoke tena na waasi wakimshindwa mara hii hawatakaa wamuweze tena ila mpaka sasa sijatupa taulo kwa Assad ingawaje kimsingi yupo na hali tete
Hongera sana mkuu. Umenena kuime.
 
Back
Top Bottom