Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Huo ni uongo.
Hao waasi wa kisuni wanadhaminiwa na Uturuki na Uturuki na wakrudi haziivi.
Hata hizi sarakasi zote ni Uturuki kuwadhibiti wakrudi.
Sasa wewe unapinga kama nani wakati wao wamekubaliana kugawana Keki?!

Isitoshe Wakurdi wenyewe ni Sunni.

Waturuki mnawalaumu Wazayuni mnawalaumu Wasunni mnawalaumu ninyi mnachopenda ni Ayatula Hamas na Hezbola.
 

View: https://x.com/OALD24/status/1865399931453800787

Yaani Netanyahau alitoa Onyo kwa Assad na Waasi wakatumia hiyo Onyo Kuanzisha counter offensive... Inawezekana walipewa details muhimu sana...

Sijaona Ubora wa Jeshi la waasi zaidi ya ubovu wa Jeshi la Assad

Hezbollah why asirushe Makombora yake Maeneo ya Waasi, au Ndio kipigo kilikuwa kikubwa sana

Hizbullah wengi walemavu wanatembelea magongo na wheelchair zile show show walizotembezewa na myahudi zinaitwa Mwana nkome zilikuwa SI haba.
 
Hapa kwa makali ya drone umetupiga kamba zile drone dhaifu sijapata ona ndio maana hata Ukraine kazikimbia
Drones za Uturuki zimepiga air defense systems za Urusi hapo Syria hadi Libya. Kama unabisha videos zipo nyingi katafute.

Uturuki ndio ilituma drone Iran kutafuta helicopter ya Raisi iliyodondoka milimani kwenye ukungu. Wairan walitafuta zaidi ya masaa 40 hamna kitu, drone ya Uturuki hata masaa mawili haikumaliza.
 
Nafuatilia kwa ukaribu sana hizi newz haimanishi ndio nimeunga trela siungi mkono waasi kwakua wao wameungana na Western na West hawanaga ubia na waislam wao ni kuharibu hivyo Syria inaenda kuwa zaidi Libya
Baba lao iran yuko wapi? 🤣🤣🤣
 
Kuna mtu aliawahi kuuliza Israel ilishindaje vita siku 6 😀😀😀.

Sasa hili Jeshi la Assad lingekuwa linapigana na IDF lingeweza kumaliza hata siku ?

Israel ingechukua Damascus siku Moja tu
Ingemaliza kwanza kwa hizbullah na hamas walau tungeelewa
 
Huo ni uongo.
Hao waasi wa kisuni wanadhaminiwa na Uturuki na Uturuki na wakrudi haziivi.
Hata hizi sarakasi zote ni Uturuki kuwadhibiti wakrudi.
Sifa anapew mturuki sasa sio israel iliotoa silaha za hesbullah zilizokamatwa lebanon? 🤣
 
🇷🇺🇮🇷🇹🇷 Russian Foreign Minister Sergey Lavrov holds a press conference following the 22nd Doha Forum:

The attacks of the terrorist organization "Hayat Tahrir al-Sham" were planned in advance and we are helping Syria confront them.

Political dialogue will be possible after stopping the attacks of the terrorist organization "Hayat Tahrir al-Sham"

Russia, Iran, Turkey agree to halt military operations, we will take steps on the ground

We oppose the attempt by Hay'at Tahrir al-Sham to change the balance on the ground and we will confront it and continue to support the Syrian government.

🚩 @ResistanceTrench
Ngoja tuone
 
Tangu lini elimu ya dini ya kiislamu ikapatikana kwenye internet?

Hebu nitolee mfano, elimu ipi ya uislamu inapatikana kwenye internet.

Na suala si kuleta ujuaji, bali najua kwa sababu nimesoma na ninaendelea kusoma.

Haya niletee kitabu cha houjatum mudhakkiriina cha Imam Suyutwi kwenye internet.

Mimi ni sunni, wahab tangu karne na karne wanafahamika kwenye ulimwengu wa kiislamu kwamba siyo sunni.

Unavyoona wanavyouwa watu kwa kuwachinja, walishawachinja sana sunni mpaka wakaiteka Makka.
Asante kwa ilim ya huko mkuu. Nakuaminia sana. Umesoma na unaendelea kusoma. Ndiyo maana umeelimika mkuu. Busara yako huwa inaonekana siyo kama wengine ambao sitaki kuwataja hapa.
 
Back
Top Bottom