Mturuki bado ana hangover ya ottoman empire!Edorgan leo anaipiga mkwara Iran na Russia? Kweli nimeamini middle East ni wehu.
Mleta uzi kasema mji wa Homa huelewiInasemekana Mji wa Hama umeishatekwa.
Source:Aljazeera.
Ni stretijia za kivita bwana mdogo!Kwa jinsi ninavyoona safari hii hadi Mabalozi na Wanadiplomasia wa Nchi za Magharibi na Nchi za Kiarabu wameanza kuondoka.
Wamegundua Assad na Ayatolah wake hawatoboi.
Naona Line ya Ayatolah inaenda kukatwa🤣 nini maoni yako?!Mleta uzi kasema mji wa Homa huelewi
Safari hii Urusi wako bize na Ukraine Ayatolah na Hezbola hoi bin taabani.Ni stretijia za kivita bwana mdogo!
Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?
Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
Endeleeni kuotaKwa jinsi ninavyoona safari hii hadi Mabalozi na Wanadiplomasia wa Nchi za Magharibi na Nchi za Kiarabu wameanza kuondoka.
Wamegundua Assad na Ayatolah wake hawatoboi.
Hakuna wa kuikata ngoja uoneNaona Line ya Ayatolah inaenda kukatwa🤣 nini maoni yako?!
Ndivyo unavyodhani?Safari hii Urusi wako bize na Ukraine Ayatolah na Hezbola hoi bin taabani.
Itakua wakati ule hakua amezaliwa tena waasi walipata asapoti full kabisa toka kwa wa magharibi ikiwemo ya anga ila ngoja tuoneNi stretijia za kivita bwana mdogo!
Kwani kipindi cha nyuma hao magaidi wa Isis walifika wapi na walichukua nchi kwa ukubwa wa kiasi gani? Na kisha wakafanywa nini?
Wewe subiri kitakachowakuta. Utaanza kusikia makelele kutoka kwa white helmet.
Tuhifadhi hizi maneno ama tuziache tuuuuSafari hii Urusi wako bize na Ukraine Ayatolah na Hezbola hoi bin taabani.
Majeshi ya Assad na Wanamgambo wa Kishia wameanza kukimbia na kurudi Damascus.
Hata mara Ile walibeba beba maeneo sana ila khatimaeNdivyo unavyodhani?
Hujasikia Wagner wanaachiwa kwenda Syria?
Hujasikia Iran kapeleka glide bombs za kutosha?
Hujasikia Iran kapeleka special force?
Hujasikia thousands and thousands wapiganaji kutoka Iraq wanaingia Syria?
Halafu wanajeshi wa Syria wame withdrew kutoka kwenye huo mji uliyotekwa na waasi!
Hii vita bado ni mbichi!
Hao wanasubiriwa waingie ndani kabisa, ili kipondo cha uhakika kikianza kitaacha historia hapo!
Line ya Ayatolah inaenda kukatwa😆😁Tuhifadhi hizi maneno ama tuziache tuuuu
Kila siku inakatwa ila haikatikiLine ya Ayatolah inaenda kukatwa😆😁
Hawaelewei hawa!Itakua wakati ule hakua amezaliwa tena waasi walipata asapoti full kabisa toka kwa wa magharibi ikiwemo ya anga ila ngoja tuone
Hujasikia Ndege za US na Israel zinapiga usiku?Ndivyo unavyodhani?
Na ndio ukweli kuteka mji rahisi ila kuushikilia sasa ila ngoja tuoneHawaelewei hawa!
Halafu kuteka mji siyo kazi, kazi kuushikilia!
Na kingine, hao magaidi wa Isis na wawaturuki hawatumii akili! Wanajeshi wa Syria wanaondoka kwenye miji nyinyi mnakimbilia na kujiona mmekomboa kumbe mnavutwa muingie ndani kabisa!
Wakianza kupigwa watakatiwa logistic route watabaki kama wakiwa. Bado hawajifunzi kutoka Ukraine.
Safari hii Ustazi ndio mwisho wa Assad, hadi kamuomba Netanyahu kupitia Saudia kuwa atawaondoa IRGC na kuwarudisha Iran Netanyahu kamtolea nje😆😁Kila siku inakatwa ila haikatiki
Hii habari si mpya!Hujasikia Ndege za US na Israel zinapiga usiku?