Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Tuombeane aman kaka vita siyo nzur ndugu yangu
 
Sasa wewe unapinga kama nani wakati wao wamekubaliana kugawana Keki?!

Waturuki mnawalaumu Wazayuni mnawalaumu Wasunni mnawalaumu ninyi mnachopenda ni Ayatula Hamas na Hezbola.
Kwa chanzo kipi cha habari ?
Ww jana mara ya mwisho usiku si uli tuambia kuwa waasi wamesha ingia Homs na wanajeshi wa serikali wamesha anza kuukimbia mji ?
 
Tuo
Nina uchungu kweli nimesikitishwa sana na waislam wa kiarabu, lakini wakati mwingine bora afadhali kuliko potelea mbali sijui kama hawa jamaa wakiikamata Syria middle east machafuko hayataisha ni wakorofi na wahuni kweli
Tuombee amani ndugu yangu

Jeshi la Syria limetuangusha wewe mpaka Putin mwenyewe kasusa

Mimi katika vita hii nilikuwa na Assad bega kwa bega
 
Mkuu basi. Kama hajakuelewa hawezi tena kukuelewa.
 
Kwa chanzo kipi cha habari ?
Aljazeera
Jana nilisema Waasi wa Kisunni wameingia kwenye Viunga vya Mji wa Homs na mapigano yanaendelea Waasi wengine wamezunguka baada Daraja kulipuliwa na Majeshi ya Assad.
 
Uwanja umeinama naungana na ITR Assad asipotoka mara hii hatakaa atoke tena na waasi wakimshindwa mara hii hawatakaa wamuweze tena ila mpaka sasa sijatupa taulo kwa Assad ingawaje kimsingi yupo na hali tete
Upande wa homs wamepata upinzani mkali sasa wameamua kuzungukia kusini.
 
Uwanja umeinama naungana na ITR Assad asipotoka mara hii hatakaa atoke tena na waasi wakimshindwa mara hii hawatakaa wamuweze tena ila mpaka sasa sijatupa taulo kwa Assad ingawaje kimsingi yupo na hali tete
Assad baada ya kuwashinda waasi hapo awali alikuwa na nafasi nzuri ya kutafuta suluhu ya kisiasa ila alipuuza hilo....kwa Sasa ana kibarua kizito
 
Aljazeera
Jana nilisema Waasi wa Kisunni wameingia kwenye Viunga vya Mji wa Homs na mapigano yanaendelea Waasi wengine wamezunguka baada Daraja kulipuliwa na Majeshi ya Assad.

Umeyakataa maneno yako mwenyewe jana ulisema wanajeshi wamesha ukimbia mji.
Tuletee link ya hiyo habari tuisome au hata screen shot ya hiyo habari .
Yaani Uturuki anafanya kila aina ya vurugu kuwadhibiti wakurdi leo hii akubali wawe na mamlaka karibu na mipaka yake?
 
Mimi nakuambia wacha kuwasikiliza Aljazeera , Al Arabiya na Western media. Assad hatolewi mtakuja niambia hao wapinzani wataishia kuza tomato kule Turkey na Israel
Assad atabaki kwenye Kichwa chako tu kama Raisi lakini huko Syria Wananchi wamemchoka.
 
Assad baada ya kuwashinda waasi hapo awali alikuwa na nafasi nzuri ya kutafuta suluhu ya kisiasa ila alipuuza hilo....kwa Sasa ana kibarua kizito
Golden Chance, lakini alizidiwa nguvu na Ayatolah baada ya kusaidiwa, Syria ikawa kama Koloni ya Wairan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…