Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mimi ni Muislam sio sunni wala sio Shia lakini hao wote ni ndugu zangu as long wanasema Mungu ni mmoja tu na Mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu.Hivi wewe huwa ni Sunni au Shia mbona una ka IQ hafifu sana?!
Kuna point nilikuwa nataka kukuonyesha ndio maana nimemnukuu member.Unajichekesha nini au hoja zishaisha
Hakuna Muisilamu wa hivyo acha kudanganya Watu.Mimi ni Muislam sio sunni wala sio Shia
Ww jamaa una utoto mwingi sana.Inasemekana Simu za Assad Ayatolah anaziangalia hadi zinakatika.
AiseeInasemekana Simu za Assad Ayatolah anaziangalia hadi zinakatika.
IDF hii hii inayoingia Mwaka wa pili wakipambana na Hamas wasio na Silaha??Kuna mtu aliawahi kuuliza Israel ilishindaje vita siku 6 😀😀😀.
Sasa hili Jeshi la Assad lingekuwa linapigana na IDF lingeweza kumaliza hata siku ?
Israel ingechukua Damascus siku Moja tu
Sasa hivi Ayatolah hata Pager anaziangalia tu wala hazisogelei😁Ww jamaa una utoto mwingi sana.
Hawa wa hapa Tanzania sijui wanafuata mafundisho gani, pumba tupu.
View: https://x.com/Osint613/status/1865488273206087813
Unakuta mtu Humu JamiiForumns anakaa Kigoma anasema waarabu wasiishi kwa amani na Israel
Sijui hata kama bado yuko Damascus, labda ametorokea kwenye Mkoa aliozaliwa.Asad bado tu haja hutubia taifa kama mlivyo twambia?
Huyo Muislamu gan anaacha masharubu? Tatizo limeanzia hapo hana discpline
View: https://x.com/Osint613/status/1865488273206087813
Unakuta mtu Humu JamiiForumns anakaa Kigoma anasema waarabu wasiishi kwa amani na Israel