Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mimi ni Muislam sio sunni wala sio Shia lakini hao wote ni ndugu zangu as long wanasema Mungu ni mmoja tu na Mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu.Hivi wewe huwa ni Sunni au Shia mbona una ka IQ hafifu sana?!