Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Nderemo Vifijo na Hoihoi vimetawala kwenye Mji wa Deir Az Zoor baada ya Gereza kufunguliwa na kuachiliwa kwa Wafungwa, wengi wao walikuwa ni Wafungwa wa Kisiasa na walikuwa wanateswa na kupigwa kila siku na Vyombo vya Dola.
 
Naona umeamua kupotosha mambo makusudi kupiga air defense za Russia ndio kigezo cha ubora mbona Ukraine hawazitumii tena kule kwao against Russia ila kongole pia sikujua kama ulikua unaongelea zile drone za vita ila ghafla ukaingia kwenye drones za kufanyia surveillance unaongelea nini kwani
Naongelea drones za kijeshi za Uturuki.

Drones zilizoiona Moskva ili izamishwe ni TB2, zilizopiga Pantsir air defense systems kule Libya na Syria ni TBT. Drone iliyoona ndege ya Rais ilipoanguka ni Akinci ambayo ina roles kadhaa na silaha inabeba silaha hizi
• Mini Smart Munition MAM-L
• Mini Smart Munition MAM-C
• Cirit Missile
• L-UMTAS Missile
• Mini Smart Munition Bozok
• MK-81, MK-82, MK-83 Guided Bombs (JDAM)
• Wing Assisted Guided Bomb MK-82
• Air-to-Air Missile Gokdogan and Bozdogan
• Cruise and anti-ship missile SOM-A
Baykar-Akinci-1024x678.jpg~2.jpg


Bado hao Waturuki walidungua Su-25 ya Urusi bila hofu. Waturuki hao wamewazidi kete Iran na Urusi kwenye suala la Syria. Unawachukulia Waturuki wepesi ila vitendo vyao vinakukatalia.
 
Jeshi la Assad mpaka sasa halijapigana vita linashindana kutimua mbio. Very useless
😃😃😃 Ni kweli kabisa nadhani hata washirika wamekatishwa tamaa na morali ndogo ya wanajeshi wa Syria.
Urusi na Iran wametumia mabilion ya$ kukukombolea ardhi yako alafu leo hii unakuja kuyaachia tena kirahisi kabisa,kwakweli hata kama ni ww ni lazima upate hasira.
Jana mashambulizi ya drone ya Iran kwa kiasi fulani yali waliwapunguzia sipidi ya kuiteka Homs ila bado majamaa yako ngangali na Homs ikianguka kuoteka Dumasikas ni kama kunywa maji.
 
Back
Top Bottom