Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Kasema ameachana na Ugaidi na ametubu kwa Allah na Serikali yake itakuwa ni Inclusive Madhehebu yote ya Kiislamu Madhehebu yote ya Kikristo na Wayahudi wa Syria pia watahusishwa kwenye Serikali yake mpya.
Aah wapi!

Wafuasi wake walivyoingia mji wa wakristu wamenyofoa miti ya Xmas kama ugomvi.
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wameudhibiti mji wa DEIR ez-ZOR Nchini Syria. Mji huo ndio unabarabara kuu inayotoka mji wa Bandari wa LAITIKIA Kuelekea Miji ya HOMS na DAMASCUS nchini Syria.

Wakati huo huo,Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imewataka raia wake kuondoka nchini Syria kuelekea Uturuki. Wanadiplomasia wa Urusi na Iran wameamriwa kuondoka na nchi zao.
Urusi imeiomba Uturuki kuikubalia kupitisha Meli zake kupitia Mlango wa BOSPHORUS GAP ili Kuziondoa kwenye bandari ya LAITIKIA iliyoko bahari ya Mediterranea kabla haijazingirwa na Waasi hao. Uturuki bado haijatoa majibu.

Wakati huo huo,jeshi la Israel limepeleka vifaru na Askari wa miguu kwenye milima ya Golan ili kuhakikisha Ulinzi wa Ardhi yake hautishiwi na kinachoendelea nchini Syria. Ndege za kivita za Israel zimeanza mashambulizi mjini Damascus kuzilenga ngome za kijeshi za Serikali ya Syria na wanamgambo wa Kishia.
Tuliwa waambia hapa hizbollah wametepeshwa na myahudi wakabisha. Assad hakuwa na support yoyote kwa sasa,akaunde serikali huko uhamishoni sasa. Myaudi akili nyingi yule amewatandika hapo vibaraka wa Assad kima hesabu sana na kuwanyongonyesha kwa air strike za mara kwa mara mdogo mdogo wametema bingo😂😂
 
Wanaume kazini dakika za jioni

- Radwan forces have entered the battle, showcasing their strength against militants in Homs' countryside.

- Confirmed reports indicate the imminent arrival and participation of Iraqi and Yemeni fighters.

@meiaagency
 
Wakuu,kuna habari za hivi punde zinasema Mji wa Homs teyari umeshatekwa na Waasi wa Kisunni.,THS

Kwahiyo sasa Waasi wote wanaenda Damascus kama Nyuki.😆

Huenda Assad akanyongwa kama Saddam Hussain wa Iraqi.
 
Hahahahaa leo nakuunga mkono umeongea uhalisia. Achana na jews jombaa. Wamemlia timing wakati mrusi yuko bize na Ukraine na hezbollah kachapika wakajua jamaa hana wa kumsaidia. Iran kaja na mikwara wapi.
Sijawahi kuacha kuongea uhalisia inategemea wewe unaliangaliaje nnalolisema
 
Shaheed zinatumika kwa wingi kwa sababu Urusi ilipewa licence production yake na Iran, na kabla ya hapo Urusi ilizinunua nyingi sana. Ukraine haina hela nyingi kununua TB2 nyingi.

TB2 nimekuelezea na matumizi yake

•Kuvamia Snake island zilitumika kushambulia sehemu ina AD systems za Urusi na video zipo ukibisha nazileta.
•TB2 ilitumika kuiona Moskva cruiser ndio ikazamishwa
•TB2 zimetumika na vikosi vya serikali ya Libya dhidi ya Khalifa Haftar, zimepiga Pantsir AD za Urusi. Evidence zipo
•Uturuki ina videos nyingi ambapo TB2 zinashambulia mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi kule Kaskazini mwa Syria.
•Azerbaijan ilizitumia TB2 kwenye Nagorno-Karabakh na ikapiga AD systems za Armenia zilizoundwa Urusi. Videos zipo

Shaheed na TB2 haviendani hizo sio drones sawa. Ila overral kwenye drone tech Iran ni mtoto mdogo sana mbele ya Uturuki, ndio maana Iran ilikaa siku mbili bila kumuona Rais wao kaanguka wapi, Uturuki ikatumia masaa mawili. Iran hana drone ambayo Uturuki hana, Uturuki ina drones ambazo Iran hana.

Ni hivi, Iran iliiomba Uturuki ilete drone yake kumtafuta Rais wao.
Bado unaendelea kunilisha maneno Shaheed zimetungua maeneo mangapi yanayolindwa na AD za nato kwamba mwanzo Ukraine alikua ananunua tb2 ila kwasasa kachemka kaamua kuzalisha mwenyewe Ukraine aligundua kwamba tb2 hazina maajabu zilikua na effects ya muda mfupi baada ya kugundulika madhaifu yake zikawa zinaangushwa sijui kuanguka tu huko field zenyewe bila kuguswa pili usipende kudanganya watu Ukraine inayopewa msaada wa karibu billion ngapi sijui wa pesa wangeshindwa kumpa hio mikopo akanunua hizo tb2 kama zina ubora huo Ukraine anapewa mikopo mingapi washindwe kumpa mkopo wa kununua tb2 hapa umetupanga tena
 
Kwenye huu mgogoro mumeaibika sana Dunia nzima imeona LIVE mnavyotandikwa na kukorogwa huku Allah akiwa amewatosa.
Mmemtandika nani nyie wauwaji watoto, mnawakimbia askari
mnaenda uwa watu wasio nahatia. Kweli dunia nzima imeshuhudia mpaa mahakama mlizo zitengeneza ili ziwazuru warabu na wafrika mnasema sasa hazifai 🤣
 
Wakristo ni kama inavyo sema bibilia yao kwenye ufunuo 2 - 12 - 13 makao makuu ya shetani ni ndani ya kanisani. Mkristo ni mfuasi wa shetani we huoni leo wanampa support aliye kuwa wanajidai adui yao yule Mohamed Al Golan huyu alikuwa kiongozi kwenye group la Al Qaeda na USA anajidai ni magaidi kumbe watu wake 🤣
Punguza makasiriko shekhe hizbollah wapo Damascus baada ya kuiteka tel aviv na haifa kumsaidia Assad na habari za hivi punde ni kwamba waasi wamerudishwa nyuma mpaka idlib tuendelee kunywa kahawa shekhe hakuna kafiri hatashinda huko
 
IQ kubwa inaonyesha kupitia Intelligence mnawekewa hadi Pager zenye mabomu eti Inshaala.😆😆😁
IQ yakufake kuwa nyie ndio wenye kiwanda hio ndio IQ hivi we upo sawa akilini. We hujui dunia nzima iliwadharau hao unao waita wana IQ. Hio IQ gani ya kufake na kupandikiza maboom huo ni ugaidi wala sio IQ. Nenda kapime akili zako we ni.mpishi tu.
 
Hujui kama Condom huwa inatumika kwa muda muafaka na wakati mwingine huwa inatupwa jalalani.

Nyie Jamaa mna IQ za kunywea Kahawa na kutukana Dini nyingine kuwa ni "Kafiri", Daima hamutawaweza Wazayuni.

Wazayuni ni sio level yenu ni IQ kubwa sana.
Nyie kuitwa makafiri sio matusi bali ni sifa yenu ama uhalisia wenu
 
Ah wapi!

Wameshapatana na wamagahribi!

Na wamagharibi walivyo wanafiki na kauli mbiu yao "we don't negotiate with terrorists".

Ila wamefika dau na huyo gaidi.
Ugaidi ni Idiolojia unaweza ukaachana nazo mfano mwanzo alikuwa anaamini na anapigania Dola la Kiislamu katika Ardhi ya Levant. ambayo ni Syria Jordan na Lebanon Israel nk.

Lakini sasa kabadilika kabisa anataka kuikomboa Syria tu na kuuondoa Utawala wa Kidikteta wa Bashir Al Assad umeona hiyo U turn?!
 
Back
Top Bottom