Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Allah ndio kawasaidia we hujui hio inaweza kuwa ni mipango ya Allah, Israel ajiangalie hao ndio watamshughulikia vizuri sasa.
Mbona Allah kasubiri makubaliano ya kusitisha Vita kwa siku 60 ndio akaanza kuwasaidia Waasi wa Kisunni?

Mbona Allah kagoma kuwasaidia Watu wa Gaza.
 
Mbona Allah kasubiri makubaliano ya kusitisha Vita kwa siku 60 ndio akaanza kuwasaidia Waasi wa Kisunni?

Mbona Allah kagoma kuwasaidia Watu wa Gaza.
We wachana na ujinga Allah siku zote anawapa mitihani watu wake hivi unadhani Mitume kama Mussa. Ibrahim, Yesu na Muhammad walikosa kupewa mitihani. Ukiona hupati mitihani ogopa sana kuna watu huwa hata hawaugui lakini siku akiugua ndio kwaheri.

View: https://youtube.com/shorts/byFs9Ec1nlc?si=0mvOhveGeNuzd8Rs

Mimi nimemfatilia huyu kiongozi mpya anasema hakusaidiwa sio na US, Israel au Turkey alicho weka wazi Syria haitakuwa against na mkristo au Shia au dini ya aina yoyote ile.

Na pia nimependa point sio jeshi la US au la Mtu yoyote yule atabaki Syria unless kuwa kuna reason na atahukumu kwa njia ya Kislam. Mpaa hapo naona Israel kaukalia hata piga Syria bila wao kurudisha mapigo.
 
Barabara ya M5 inayoelekea Damascus imejaa Magari ya Deraya Vifaru BMs nk. vitu vingine ni Maelfu na Maelfu ya Sare za Jeshi la Assad zilizotelekezwa mpaka najiuliza au Wanajeshi wa Assad walikuwa wanatembea na Mifuko ya Rambo ikiwa na Nguo zao za Kiraia?🫨😯
 
Kaanguka kiiman tumuombee hamnaga shida kabisa huyu yeye huwa ni kushusha nondo tu

Wenzie wote wamekukimbia akina Kosugi Webabu FaizaFoxy Ritz Malaria 2 kabaki yeye tu tumwombee
Hatujakimbia mkuu bali hakuna cha kujadili.
Iran imeshapeleka jeshi na pia Urusi inaendelea na mashambulizi ya anga.
Waasi hawana watakachofanikiwa siku zijazo.
Na huenda wakaipoteza na Idlib kabisa.
 
Yule Kungwi Mkuu wa Masunni wa JF BIbie FaizaFoxy, kaingia Mitini siku ya tatu Leo.

Sijui ni kitu gani kinamsibu au ni Dozi za Wazayuni?!😳
 
Okay kichaa we baki hivyo hivyo unavyo amini utakuja jua umeisha Chelewa , sijui labda kaburini.
Lakini ujue Ustazi sote hatuwezi kuwa sahihi kwenye hili, ni lazima mmoja wetu atakuwa amedanganywa.

Kila la kheri Ustazi.
 
Barabara ya M5 inayoelekea Damascus imejaa Magari ya Deraya Vifaru BMs nk. vitu vingine ni Maelfu na Maelfu ya Sare za Jeshi la Assad zilizotelekezwa mpaka najiuliza au Wanajeshi wa Assad walikuwa wanatembea na Mifuko ya Rambo ikiwa na Nguo zao za Kiraia?🫨😯
Walianbiwa wasipigane na waziri wa majeshi na chief of staff kuna askari hapa amehojiwa.
 
Back
Top Bottom