Acheni upunguwani ndugu zangu wengi mnatumia uzoefu tu sababu mwana fa ni mkongwe lakini kwa mistari ya stamina anasubir.Stamina mistar yake inapaswa kuwekwa maktaba na vyuo vikuu kufundishia.kama una uwezo wa kusoma nyuma ya ubao au uoni kwa jicho la tatu huwez kumuelewa stamina.Naunga hoja kama huna digrii mbili uwez kumuelewa stamina.
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,
lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.
Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari
cc: Mphamvu MR. CONFIDENT
Hiyo ofisi yenu mmhh!mnajua ku pick topic ya kujadili!labda iwe barber shop!Kumbe na wewe una ofisi?
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,
lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.
Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari
cc: Mphamvu MR. CONFIDENT
stamina mwenye mistari" hata mzungu mweupe ana kivuli cheusi" ndo wA kumfananisha na FA??...kila mstari wake ana anaweka kama...
Wewe una degree ngapi?
ofisi ya walimu au ya mkuu wa shule?
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,
lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.
Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari
cc: Mphamvu MR. CONFIDENT
hizi kuandika hatukopi kwenye vitabu usinitafutie sabbu shika lako ntakuaribu babu sorry sana kama umekushiba ustaarabu
joh anamchana stamina
FA wakuache