Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

Acheni upunguwani ndugu zangu wengi mnatumia uzoefu tu sababu mwana fa ni mkongwe lakini kwa mistari ya stamina anasubir.Stamina mistar yake inapaswa kuwekwa maktaba na vyuo vikuu kufundishia.kama una uwezo wa kusoma nyuma ya ubao au uoni kwa jicho la tatu huwez kumuelewa stamina.Naunga hoja kama huna digrii mbili uwez kumuelewa stamina.
 
Wewe una degree ngapi?
 
Stamina mkali.....tatizo nyota tu labda
 
Mashabiki wa MwanaFA Hawana Hoja Hawana Evidence Wanapenda makelele hawazingatii uzito wa ujumbe na mistari kwenye nyimbo wanazosikiliza
 
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,

lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.

Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari

cc: Mphamvu MR. CONFIDENT

ofisi ya walimu au ya mkuu wa shule?
 
Last edited by a moderator:
FA is on another planet u cant compare him with stamina, stamina is on the level of young killer, and the so called tamaduni music artists
 
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,

lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.

Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari

cc: Mphamvu MR. CONFIDENT

Badala ya kufanya kazi mnapiga soga kuhusu bongo fleva, hivi hiyo ofisi yenu haina bosi, au bosi ndio wewe?
 
binam yuko juu, landa sababu sina degree mbili ndo maana stamina sijawahi kumuelewa.
FA level zingine
 
stamina mwenye mistari" hata mzungu mweupe ana kivuli cheusi" ndo wA kumfananisha na FA??...kila mstari wake ana anaweka kama...

hahahah hii ndo point niliyoitaka
 
Stamina kamshindwa hata nay wa mitego !!

Leo unamfanansha na FA
Ungekua karibu ningekupiga klebu
 
Sitak mambo yaende kombo na yakienda yawahi kurud #FA Kiboko yao

Ni tus kwA FA kumlinganisha na Dogo stamina ingawa Dogo stamina yupo vzuri pia bt bado hajafika hizo level
 
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii,

lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao, Mwisho nikagundua kuwa ili uelewe mistari inayoshushwa na Stamina inahitaji angalau Degree 2.

Hebu nipeni mawazo yenu nani Mkali hapa kwenye uandishi wa mistari

cc: Mphamvu MR. CONFIDENT

hizi kuandika hatukopi kwenye vitabu usinitafutie sabbu shika lako ntakuaribu babu sorry sana kama umekushiba ustaarabu

joh anamchana stamina

FA wakuache
 
Last edited by a moderator:
FA ni mwingi wa majigambo,stamina anacheza na maneno......tungo zenye akili mtafute songa,one, Jay mo,Salu T wale ndo waandishi, FA wa kawaida sana,anatumia ukongwe
 
"Nina Mistari mikali HADI Luanda ananionea gere", "Nina mistari mikali HADI George anarudi Bush", "Bongo Jua la utosi HADI Juma anakosa Nature"-Stamina

#USITAKE NCHEKE
 
Back
Top Bottom