Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

"Nina Mistari mikali HADI Luanda ananionea gere", "Nina mistari mikali HADI George anarudi Bush", "Bongo Jua la utosi HADI Juma anakosa Nature"-Stamina

#USITAKE NCHEKE

Hii ndio mistari ya kumfananisha stamina na fa?

awa wasanii wenu wana bahati sana wamekuta game haina watu wenye akili...Tafuta album ya mwanafalsafani cheza wimbo unaitwa mwanafalsa au showtime.
 
kumfananisha stamina na fa of koz na matusi kifupi katika level za hip hop
watu wanaumiza vichwa naanza na fid yupo mwenyewe hata k@ma hutaki kati hapo ngeweza kumueka fa prof kidogo na ay japo ay yupo sana na komesho stmina naweza kumuweka na hawa watu wa kawaida wanajiita weusi akina ney na wengineo katika hip hop game kila mtu anajua nafasi yake
 
sasa mbona na mimi unaniweka kwenye kundi la mashabiki wa Stamina?Mi nimeweka hiyo mistali ili kuanika udhaifu wa tungo zake za kitotototo
 
kumfananisha stamina na fa of koz na matusi kifupi katika level za hip hop
watu wanaumiza vichwa naanza na fid yupo mwenyewe hata k@ma hutaki kati hapo ngeweza kumueka fa prof kidogo na ay japo ay yupo sana na komesho stmina naweza kumuweka na hawa watu wa kawaida wanajiita weusi akina ney na wengineo katika hip hop game kila mtu anajua nafasi yake

AY mtoe
 
Ukweli ulio wazi ni kwamba .......

Kizazi cha mistari nondo uzao wa Fid Q kikiandika mtari mmoja Mtu kama Mwana FA ili alete maana ile ile anaandika Nyimbo nzima,

Angalia mfano:

"Pole pole... ndio mwendo kila akikumbuka inamuuma, kwanza viliumbwa vidole binadamu ndio akaunda uma" By Fid Q

"Naona mlango wa pepo ila sioni pakutokea, hii pesa imetoka jando inataka kuni babu sea" By Stamina

"Usimpige mkeo mpige shangwe, maana Young killer sio ngazi kwahiyo mwambieni shetani asinipande " By Msodoki BestMan

Huyo mwana FA wenu akitaka kuimba alete maana ya mstari wowote kati ya mistari hiyo basi ataandika nyimbo nzima,

Mfano mdogo, nyimbo nzima ya usije mjini Killer anaweza kuiandika kwa mstari mmoja ukasimama kuliko nyimbo nzima ya mwana FA,

Sasa msiwe mnafloo bila fact write down, mkishupalia mwana FA mkali bila vigezo na sababu mnakuwa na mapenzi tu hamna sababu.

CC: kende youngd diCaprio Honey Faith Viol Farha
 
Kwenye biashara Masawe kama profesa - Binamu

Wanatokea kama watoto wabunge wanahisa ikulu? lah ni nguvu ya bange! -showtime by mwanafalsafa
 
Stamina Package Waungwana, Nyimbo moja Burudani kamili, Nyimbo moja ya stamina albamu nzima ya FA, Ukibisha Escrow
 
dddaaahhh jamani hebu kasikilizeni kwanza album ya mwanafalsafani ndo mje tubishane...daahh eti fa umliganishe na stamina??daaahh mpaka naskia hasira...fa alitoaga wimbo wa ingekuwa vip nakumbuka zilitoka nyimbo kama 3 kuujibu wimbo ule mmoja tu....sister p aliropoookaaa..mwanafa akamjibu kauli moja tu...kasolo zenye kasoro...kama hujui fasihi huwez kuelewa kauli tata za binamu...kaburi halihitaji mbwembwe ndo mana hawaweki ac.....binamu ni chombo kingine
 
damu kwenye buti yangu,ganja kwenye gari yangu.

nakodisha bunduki ila siwadhuru watu wangu,

kilio changu cha kwiki na Nina mkwanja kama Melbahu,wajinga wajinga msinisumbue bila sababu

kuhaso sio tabu kama kitaeleweka

mabinti wanaongezeka,akitoka na mimi kesho kila mtu anamtaka.

usipimee,mimi mtoto wa kiume,kung'aa kidogo kusifanye nisijitume,nimeng,aa na nakomaa

tumeelewana majamaa,asiye na kwao kama mimi kamwe hawezi kuwa shujaa,

wala huitaji degree kufahamu ninakoelekea,ni B.I.N.A
M.U
 
Kaka we ni CCM nini !? Huoni kwa mistari yote hiyo bado hakuna ujumbe Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa Maweee !

Hebu niambie hiyo mistari na yote na huu upi unaujazo,

"Wema ndio unaniponza mpaka napewa Sepetu, Tajiri ndo unanifyonza kwa mrija unashinda kwetu"

Kwa Stamina mstari mmoja tu unatosha kuburudisha na kuelimisha
 
hiyo mistari ya kugeuza majina ya watu au?

Bongo Jua la utosi hadi juma anakosa nature.

Nina mistari hadi Rwanda ananionea gere?

nimeanza kale hadi Leo sijaitwa pepe!!

utakua unanitania Wewe!?

unataka ujumbe kasikilize hizo.

1.Huwezi Jua

2.Alikufa kwa ngoma.
3.mwanafalsafa.

4.siku haZifanani.

5.wakati nimelala.

then njoo tujadili upya.
 
Achana na msodoki next level, Siku ikitokea colabo ya youngkiller, Stamina na FA ndio mtaelewa ninachomaanisha. Kwanza msodoki nuksi, hachelewi kuumbua mtu. we huoni kwenye jana na leo STamina alivyopumulia pua moja? au ile colabo yake na fid Q?

Mwana FA hawezi kwenda kuumbuka kwa kufanya colabo na Killer na siku akijaribu tu ndio mauti yake

mmmhhhh mambo mengine bwana we sema una mapenzi binafsi na stamina
japo mi namkubali stamy ila kwa fa akasomeee
 
Acheni upunguwani ndugu zangu wengi mnatumia uzoefu tu sababu mwana fa ni mkongwe lakini kwa mistari ya stamina anasubir.Stamina mistar yake inapaswa kuwekwa maktaba na vyuo vikuu kufundishia.kama una uwezo wa kusoma nyuma ya ubao au uoni kwa jicho la tatu huwez kumuelewa stamina.Naunga hoja kama huna digrii mbili uwez kumuelewa stamina.

Utakuwa ndio umehitimu elimu yako ya secondary ee
 
dddaaahhh jamani hebu kasikilizeni kwanza album ya mwanafalsafani ndo mje tubishane...daahh eti fa umliganishe na stamina??daaahh mpaka naskia hasira...fa alitoaga wimbo wa ingekuwa vip nakumbuka zilitoka nyimbo kama 3 kuujibu wimbo ule mmoja tu....sister p aliropoookaaa..mwanafa akamjibu kauli moja tu...kasolo zenye kasoro...kama hujui fasihi huwez kuelewa kauli tata za binamu...kaburi halihitaji mbwembwe ndo mana hawaweki ac.....binamu ni chombo kingine

Me hapa natetemeka kwa hasira aisee...FA wamemkosea adabu huwezi kuwa serious kumlinganisha na huyo dogo...level zake ni Fid q
 
Back
Top Bottom