Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kuna vitu huwa havichezewi
Uumbaji wa Mwenyezi Mungu
Ardhi
Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau!
Damu zinatofautiana nguvu.. Kina damu kali na kina damu dhaifu
Kina damu yenye kusamahe lakini kina damu yenye malipizi... Na kuna damu yenye maagano na kuna damu yenye visasi hasa kama imemwagwa pasi na hatia