Hawaelewi haya mambo, watakuja hapa kujaribu kutetea matendoKuna vitu huwa havichezewi
Uumbaji wa Mwenyezi Mungu
Ardhi
Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau!
Damu zinatofautiana nguvu.. Kina damu kali na kina damu dhaifu
Kina damu yenye kusamahe lakini kina damu yenye malipizi... Na kuna damu yenye maagano na kuna damu yenye visasi hasa kama imemwagwa pasi na hatia
Sikio la kufa halisikii dawa.Aliyepita nae alikuwa kiziwi hivihivi... mwishowe wakachinjana wenyewe.
Hivi vitu tulivikuta tutaviacha,tupeane kwa zamu....umeonekana huwezi kazi usikimbilie kumwangamiza mpinzani wako,mpe usukani kama kugumu si madhaifu yake yataonekana pia
.................haya, mwishowe ngoma itapasuka
Kuna watu majini yao ya ulinzi lazima yapate damu kama Dracula hasa simba la jinsiaKuna vitu huwa havichezewi