Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Dunia hakuna kitu au jambo liko perfectSikubaze kwenye mantiki mkuu, et uhalisia wa hayo maneno, nimelenga jinsi msemo ulivyo na madhaifu kwenye jamii...
Kweli ndugu ni icon na chanzo zha identity, ila linapokuja swala la kuaminiana na kukubaliana na ndugu hata kama wamekosea, kwa kuzingatia damu ni nzito kuliko maji kumesababisha watu wengi kushikilia watu toxic kwenye maisha wakaharibu mipango yao kisa hao ndugu wa damu. Blood line sio kigezo cha kuamini mtu.
watu wengi hasa waafrika wameathiriwa pakubwa na hii dhana. Sikatai uwepo wa ndugu, ila kudhani ndugu ni mtu muhimu kwenye safari ya maisha.
Hata wewe hauko perfect sio mkamilifu