Damu ya kijana mbichi kabisa iliyomwagwa na lizee la miaka 60 sasa imeanza kujibu mapigo.
Dhihaka, dharau na kila aina ya madhila yanamuandama aliyeimwaga. Waliomuunga mkono kwa aina ya maisha na hulka alizokuwa nazo wanaumia mioyoni na akilini. Wanatamani asisimangwe hadharani. Lkn haiwezekani.
Kujiondoa ktk mkukuruko, mtikisiko na mkanganyo huu uchunguzi ufanyike ama taarifa ya kweli itolewe hadharani kuhusu kifo cha kijana huyu asiye na hatia.
Ukoo wa mhusika utoke hadharani na kuomba radhi, msamaha wa dhambi utolewe Mambo yataisha.
Bila kufanya hivyo, amini, amini anawaambieni hapatasalia jiwe juu ya jiwe. CCM inaenda kupasuka.
Ngumi zitapigwa hadharani. Visasi vya mauaji vitatamalaki na Lumumba hakutatulia.
Kila auaye kwa upanga hufa kwa upanga.