Tukiwaambia
CHADEMA hakuna Sera mnabisha!
Tukiwaambia CHADEMA mnatembelea kivuli cha Magufuli Mnabisha!
Pamoja na Lissu kuitumia Hoja ya Ben Saanane na Wengineo,ili kuusaka urais bado hakuweza kuushawishi Umati kumchagua!
Kuna watu wengi Sana wenye uzito kuliko hata Ben Saa Nane wameifia nchi hii,kwa kutafuta haki ya wengi.
Lakini kamwe,hawajatumika majukwaani kuombea kura!
Tunaujua ,Tunauishi na kuuona ubaya wa CCM.
Lakini ifike mahali,wale wanaojipambanua kuwapigania wananchi.
Wajue kwamba kila kitu kina gharama zake!
kwa hiyo unapoamua kuingia vitani...umekubaliana na chochote kitakakachotokea.
Ndio maana Duniani tunao kina....
Che-Guevara,Patrice Lumumba,Steve Biko,Malcolm X,Chris Hani,Eduardo Mondlane na kina Dedan kimathi.
Hao kwa uchache,na kutokea sehemu tofauti Duniani.
Waliamua na kuzifia Imani za harakati zao.
Kwamba ukisema kwa uchache....
Hata "Damu" ya
CHACHA WANGWE!
Nayo inao wake inaowatafuna!
Tafuteni sera za kuikabili CCM kwa kupata ushawishi toka kwa Raia,badala ya kuishi kama wasimbe!
Siasa ni mchezo mchafu.....