Damu ya Ben Saanane sasa yaanza kuipasua CCM

Damu ya Ben Saanane sasa yaanza kuipasua CCM

Magufuli alishinda uchaguzi wa 2020 ?
Uchaguzi 2020 Dkt Magufuli alishinda kwa haki kabisa. Labda kwa baadhi ya majimbo kwenye ubunge ndiyo walichakachua. Na kilochopelekea hii NGO ya Mbowe kuibiwa kura ni ujinga wao, yaani vile vitu ambavyo walivipigia kelele vyote Dkt Magufuli alianza kuvitekeleza na akawaomba wakae meza moja ili wajenge nchi wao wakamgeuka tena kuanza kumtukana kama walivyomtukaja JK enzi zake. Na huu ndiyo upumbavu sana tena wa hali ya juu wa hii NGO. Dkt Slaa alikuwa mtu wa strategy, wao hii NGO imekubali kuongozwa na Mr Zero Mbowe ambaye uwezo wake kiakili ni mdogo mno na hajui kuongoza. Kwa sasa CCM itashinda chaguzo zote labda kitokee chama kipya.
 
Polisi ndio wana wajibu huo. Kwa nini miaka kadhaa sasa hawafanyi huo uchunguzi kwa Chadema na Mbowe??
Ben aliuwawa na chadema wenzako alikuwa PS wa mbowe aulizwe mbowe

USSR
 
Wewe ndiyo hujitambui. Acha bangi utakuwa salama. Yaani Kama umekalisha matako yako chini unasubiri upelekwe nchi ya ahadi una ufinyu wa akili na kichwani kwako Kuna kumejaa kinyesi.

Nchi ya ahadi inapiganiwa haisubiriwi
mkuu endelea kuota, kama babaako na mamaako hawakuweza kuipigania hiyo nchi ya ahadi,,wewe mtoto wao ambaye bado unanuka mavi nakuhakikishia mpaka unazikwa utakuwa mpigania nchi kwa kuandika soga za kisiasa humu mtandaoni,,utawala bora ndio huikomboa nchi na sio blabla za kina mbowe na ccm wenzake ambayo wanatuletea,,shauri yako we endelea kuwa mjinga.
 
Tukiwaambia
CHADEMA hakuna Sera mnabisha!

Tukiwaambia CHADEMA mnatembelea kivuli cha Magufuli Mnabisha!

Pamoja na Lissu kuitumia Hoja ya Ben Saanane na Wengineo,ili kuusaka urais bado hakuweza kuushawishi Umati kumchagua!

Kuna watu wengi Sana wenye uzito kuliko hata Ben Saa Nane wameifia nchi hii,kwa kutafuta haki ya wengi.

Lakini kamwe,hawajatumika majukwaani kuombea kura!

Tunaujua ,Tunauishi na kuuona ubaya wa CCM.

Lakini ifike mahali,wale wanaojipambanua kuwapigania wananchi.

Wajue kwamba kila kitu kina gharama zake!
kwa hiyo unapoamua kuingia vitani...umekubaliana na chochote kitakakachotokea.

Ndio maana Duniani tunao kina....
Che-Guevara,Patrice Lumumba,Steve Biko,Malcolm X,Chris Hani,Eduardo Mondlane na kina Dedan kimathi.

Hao kwa uchache,na kutokea sehemu tofauti Duniani.

Waliamua na kuzifia Imani za harakati zao.

Kwamba ukisema kwa uchache....

Hata "Damu" ya
CHACHA WANGWE!

Nayo inao wake inaowatafuna!

Tafuteni sera za kuikabili CCM kwa kupata ushawishi toka kwa Raia,badala ya kuishi kama wasimbe!

Siasa ni mchezo mchafu.....
Lissu alishinda uchaguzi wa 2020 na wananchi walimuelewa haswaaa na Ndio maana hamtaki tume huru ya uchaguzi kama mliamini jpm alishinda na ccm inakubalika basi 2025 kuwe na tume huru kama ya kenya na matokeo yatokee moja kwà moja kwenye vituo kwenda tume kusiwepo mtu wa Kati wa kuyaedit ndio mtajua ccm inachukiwa kiasi gani!
 
Madhambi ya jpm yanafukuliwa kila siku, zipo dhambi nyingi tu na mama asipozifuatilia ataishia huko huko, Mpango kaa tayari.
Damu ya kijana mbichi kabisa iliyomwagwa na lizee la miaka 60 sasa imeanza kujibu mapigo.

Dhihaka, dharau na kila aina ya madhila yanamuandama aliyeimwaga. Waliomuunga mkono kwa aina ya maisha na hulka alizokuwa nazo wanaumia mioyoni na akilini. Wanatamani asisimangwe hadharani. Lkn haiwezekani.

Kujiondoa ktk mkukuruko, mtikisiko na mkanganyo huu uchunguzi ufanyike ama taarifa ya kweli itolewe hadharani kuhusu kifo cha kijana huyu asiye na hatia.

Ukoo wa mhusika utoke hadharani na kuomba radhi, msamaha wa dhambi utolewe Mambo yataisha.

Bila kufanya hivyo, amini, amini anawaambieni hapatasalia jiwe juu ya jiwe. CCM inaenda kupasuka.

Ngumi zitapigwa hadharani. Visasi vya mauaji vitatamalaki na Lumumba hakutatulia.

Kila auaye kwa upanga hufa kwa upanga.
 
Utetezi huu unakosa mashiko kwasabb jiwe kama kiongozi wa nchi mbona hakuchukua hatua kwa kuamuru vyombo vya dola kufanya uchunguzi wa kupotea kwa Ben Sa8?

Na kuhusu Lisu hapa ndiyo alionesha wazi kabisa kuwa alihusika. Alikataza wanaccm wenzake kwenda kumuona hospitali, alikataza watu kumchangia damu, alizuia watu kumchangia fedha, alimnyima stahiki zake, alimvua mpk ubunge. Jiwe yule anastahili zaidi ya haya
Jiwe alihusika kumvua ubunge [emoji23][emoji23][emoji23] okay sawa.Vip samia alivoenda kumuona ni kwamba alikaidi maagizo ya boss wake. Kwa roho aliyonayo jiwe kama ulivoandika hapo alishindwa nin kumshrutisha samia ama aliogoba kuonekan ni mhusika? Lakin mbna alikataza wengne kumuona lisu mmmh ni kweli hakuona itamchafua?

Nikumbushe kwa uthibitisho jiwe akizuia watu kumuona lisu?
 
Damu ya kijana mbichi kabisa iliyomwagwa na lizee la miaka 60 sasa imeanza kujibu mapigo.

Dhihaka, dharau na kila aina ya madhila yanamuandama aliyeimwaga. Waliomuunga mkono kwa aina ya maisha na hulka alizokuwa nazo wanaumia mioyoni na akilini. Wanatamani asisimangwe hadharani. Lkn haiwezekani.

Kujiondoa ktk mkukuruko, mtikisiko na mkanganyo huu uchunguzi ufanyike ama taarifa ya kweli itolewe hadharani kuhusu kifo cha kijana huyu asiye na hatia.

Ukoo wa mhusika utoke hadharani na kuomba radhi, msamaha wa dhambi utolewe Mambo yataisha.

Bila kufanya hivyo, amini, amini anawaambieni hapatasalia jiwe juu ya jiwe. CCM inaenda kupasuka.

Ngumi zitapigwa hadharani. Visasi vya mauaji vitatamalaki na Lumumba hakutatulia.

Kila auaye kwa upanga hufa kwa upanga.
Kuna watu midomo yao ndo hua inawaponza.
Mungu anampa mtu kitu anachostahili.
 
Alimuua kwa kwa kumpiga risasi kwa mkono wake. Msipotubu hadharani yatawapata makubwa.
Kama ni kweli,hii karma haitatoka kwenye familia yake.
Ndio Mama Janeth Mmewe anashambuliwa katulia tu.
Afanye kitu kwaajili ya wanae wasijekutwa na Karma.
 
Si mnasema jamaa kauwa na kuteka watanzania wengi sasa iweje damu ya Ben tu ndio ilete shida au hizo damu zengine ilikuwa ni halali kumwagika?
 
un
Tukiwaambia
CHADEMA hakuna Sera mnabisha!

Tukiwaambia CHADEMA mnatembelea kivuli cha Magufuli Mnabisha!

Pamoja na Lissu kuitumia Hoja ya Ben Saanane na Wengineo,ili kuusaka urais bado hakuweza kuushawishi Umati kumchagua!

Kuna watu wengi Sana wenye uzito kuliko hata Ben Saa Nane wameifia nchi hii,kwa kutafuta haki ya wengi.

Lakini kamwe,hawajatumika majukwaani kuombea kura!

Tunaujua ,Tunauishi na kuuona ubaya wa CCM.

Lakini ifike mahali,wale wanaojipambanua kuwapigania wananchi.

Wajue kwamba kila kitu kina gharama zake!
kwa hiyo unapoamua kuingia vitani...umekubaliana na chochote kitakakachotokea.

Ndio maana Duniani tunao kina....
Che-Guevara,Patrice Lumumba,Steve Biko,Malcolm X,Chris Hani,Eduardo Mondlane na kina Dedan kimathi.

Hao kwa uchache,na kutokea sehemu tofauti Duniani.

Waliamua na kuzifia Imani za harakati zao.

Kwamba ukisema kwa uchache....

Hata "Damu" ya
CHACHA WANGWE!

Nayo inao wake inaowatafuna!

Tafuteni sera za kuikabili CCM kwa kupata ushawishi toka kwa Raia,badala ya kuishi kama wasimbe!

Siasa ni mchezo mchafu.....
amfananisha chizi na Lumumba? wewe kweli unasikitisha?
kwamba kwasababu chacha wangwe alikufa ni sahihi Ben Sanane nae kufa?
unasema lisu alishindwa kuushawishi umma umpigie kura ila hutaki kusema magufuli na wagombea wengine wa ccm walipigiwa kura siku mbili kabla ya zoezi la kupiga kura. mfano pale kinondoni ccm na kwinginepo Tanzania
inakuaje mzalendo aibe kura?
 
Tukiwaambia
CHADEMA hakuna Sera mnabisha!

Tukiwaambia CHADEMA mnatembelea kivuli cha Magufuli Mnabisha!

Pamoja na Lissu kuitumia Hoja ya Ben Saanane na Wengineo,ili kuusaka urais bado hakuweza kuushawishi Umati kumchagua!

Kuna watu wengi Sana wenye uzito kuliko hata Ben Saa Nane wameifia nchi hii,kwa kutafuta haki ya wengi.

Lakini kamwe,hawajatumika majukwaani kuombea kura!

Tunaujua ,Tunauishi na kuuona ubaya wa CCM.

Lakini ifike mahali,wale wanaojipambanua kuwapigania wananchi.

Wajue kwamba kila kitu kina gharama zake!
kwa hiyo unapoamua kuingia vitani...umekubaliana na chochote kitakakachotokea.

Ndio maana Duniani tunao kina....
Che-Guevara,Patrice Lumumba,Steve Biko,Malcolm X,Chris Hani,Eduardo Mondlane na kina Dedan kimathi.

Hao kwa uchache,na kutokea sehemu tofauti Duniani.

Waliamua na kuzifia Imani za harakati zao.

Kwamba ukisema kwa uchache....

Hata "Damu" ya
CHACHA WANGWE!

Nayo inao wake inaowatafuna!

Tafuteni sera za kuikabili CCM kwa kupata ushawishi toka kwa Raia,badala ya kuishi kama wasimbe!

Siasa ni mchezo mchafu.....
Unapoongelea uchaguzi ndipo unaponifanya nijue kuwa kuna baadhi yetu tupo kazini, kutetea kwa hali na mali hata kama ukweli upo wazi. Kuna Mikoa uchaguzi wa Serikali za mitaa CCM ilipita bila kupingwa kwa kigezo cha wapinzani kushindwa kujaza fomu. Yaani Mkoa mzima wote walifeli suala ambalo kilichofanyika kinaeleweka wazi kabisa. Kuna mahali ni vema kukaa kimya.
Hii hali lwa sasa watz walewale walioshiriki hayo mabaya wapo makanisani na misikitini huku wakiendelea na maisha. Kitu kibaya sana.
Kwa nafasi hii bado naiomba serikali ihakikishe hizi chaguzi ndogo za vitongoji na vijiji waachiwe wananchi wachaguane kwa upendo wao.
 
Hata saa mbovu kuna wakati inapatia majira sawa sawa, Mzee Makamba japo ni mropokaji lakini kuhusu huyu ibilisi wa chatle amepatia kabisa, yule mtu alikuwa mwovu kupindukia
Yaani amepiga kwenye mshono. Sukuma gang wanatafuta njia ya kutokea hawaioni
 
Mmmmh CCM hiii au nyingine
Tatizo hakuna anyependa kuambiwa kuwa anakufa. Ndiyo mqana huwa mtu anapokata roho hutupatupa Sana miguu akijaribu kukigomea kifo.

Amini, amini nakuambieni CCM inaenda kufa
 
Back
Top Bottom