Damu ya Ben Saanane sasa yaanza kuipasua CCM

Dkt Magufuli hahusiki na kupotea kwa Ben hata kidogo. Kosa la Ben ni kama kosa la Lisu. Alijitoa kiasi kwamba wabaya wa serikali wakampoteza kwa sababu ukimpoteza mtu maarufu ambaye ni critic wa Dkt Magufuli dunia nzima itajua. Ingekuwa Dkt Magufuli kaua watu kiasi hicho kwanini serikali ya Dkt Samia haijaweka wazi na watu wakashitakiwa kwa mauaji ambayo yeye Dkt Magufuli aliyatekeleza???? Ndiyo ujue hao hao kundi hilo hilo lililomuua Dkt Magufuli ndiyo liliendesha propaganda za kuua watu na kusingizia Dkt Magufuli na ndiyo maana halina uwezo wa kujishitaki
 
Una hasira ya kutupwa kwenye shimo la mbolea....usilie wenye chama wameingia Kibabe ...nyukaneni tu ukipanda chuki utavuna chuki tena mbichi.......
 
Makaa ya mawe....
 

Mnapenda Sana kuongea mambo bila ushahidi

Huyo Ben saa nane alikuwa na nguvu gani mpaka rais amuue?

Alikuwa na impact gani kwenye taifa?

Yan kupiga piga makelele kwenye mitandao ndio rais amuue?

Achen mambo yenu
 
Utetezi huu unakosa mashiko kwasabb jiwe kama kiongozi wa nchi mbona hakuchukua hatua kwa kuamuru vyombo vya dola kufanya uchunguzi wa kupotea kwa Ben Sa8?

Na kuhusu Lisu hapa ndiyo alionesha wazi kabisa kuwa alihusika. Alikataza wanaccm wenzake kwenda kumuona hospitali, alikataza watu kumchangia damu, alizuia watu kumchangia fedha, alimnyima stahiki zake, alimvua mpk ubunge. Jiwe yule anastahili zaidi ya haya
 

Vijana wao bado wanakesha kwenye mitandao na story za uongo uongo
 
Mnapenda Sana kuongea mambo bila ushahidi

Huyo Ben saa nane alikuwa na nguvu gani mpaka rais amuue?

Alikuwa na impact gani kwenye taifa?

Yan kupiga piga makelele kwenye mitandao ndio rais amuue?

Achen mambo yenu
Alimuua kwa kwa kumpiga risasi kwa mkono wake. Msipotubu hadharani yatawapata makubwa.
 
Jina lako Tu linaonesha ww ni kijana wa Aina gani
Umezidiwa nguvu na hoja za JF. Ondoka nenda Facebook mnakojadiliana namna ya kufirana . Hkuku hakukufai.
 
Umezidiwa nguvu na hoja za JF. Ondoka nenda Facebook mnakojadiliana namna ya kufirana . Hkuku hakukufai.

Nilijua Tu, uwe na jina kama Hilo na uwe mwanaume wa kawaida haiwezekani

Naona ushaanza kuongea mambo yako yanayokuweka mjini

Rais amuue Ben Kwa kitu gani? Alikuwa na nguvu gani?

Secretary wa mbowe, awe na ishu ya kuzingua serikali?

Acha ujinga
 
Ha
 
Je Serikali ya Rais Samia ambayo inamkandia kila kukicha na yenye wazee wanajiona wao hawatakufa na wana vyombo vyote vya ulinzi na usalama wanashindwa nini kuanzisha uchunguzi na kuweka bayana namna Dkt Magufuli alivyomuua Bensaa8??? Ujue wahusika ndiyo wao hawawezi kujichunguza. Ingekuwa Dkt Magufuli kaua basi lilikuwa jambo la haraka wangefanya ili wamchafue. Mbona huwa hamsemi Daudi Mwangosi walivyouawa mchana kweupe Iringa na kwa nini huwa hamsemi JK ni muuaji? Mbona huwa hamsemi Dkt Ulimboka alivyotupwa Mabwe Pande mpaka leo ni kichaa na wala hamsemi Dkt Kikwete muuaji??? Acheni uzushi, Dkt Magufuli yupo mioyoni mwa watanzania, pamoja mlimuua ila bado anaishi mioyoni mwa watanzania
 
Hata saa mbovu kuna wakati inapatia majira sawa sawa, Mzee Makamba japo ni mropokaji lakini kuhusu huyu ibilisi wa chatle amepatia kabisa, yule mtu alikuwa mwovu kupindukia
 
Magufuli alishinda uchaguzi wa 2020 ?
 

Kunywa supu ya kuku Kwa bill yangu
 
Ben aliuwawa na chadema wenzako alikuwa PS wa mbowe aulizwe mbowe

USSR
Unatia aibu , Subirini video ya mauaji yake itakapoletwa hadharani hivi karibuni , hamtaamini macho yenu
 
Nilijua Tu, uwe na jina kama Hilo na uwe mwanaume wa kawaida haiwezekani

Naona ushaanza kuongea mambo yako yanayokuweka mjini

Rais amuue Ben Kwa kitu gani? Alikuwa na nguvu gani?

Secretary wa mbowe, awe na ishu ya kuzingua serikali?

Acha ujinga
Nchi hii tunasafari ndefu sana muda wote vjana wa nchi wanajadili matukio na SI namna ya kufanya nchi isonge mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…