Tunataka sasa ndio tuingie kwenye uchaguziUko sawa kwa asilimia mia moja. Bila Lissu mamlaka isingetamka kuwa kutakuwa na uandikaji wa Katiba mpya baada ya uchaguzi.
Wilaya ya Tanganyika iko mkoa wa Katavi na Kijiji cha Tanganyika kipo Muheza unapokwenda Tanga. Je unamaanisha Tanganyika ipi hapa?Kila mtu anajua alishamwaga damu kwa kupigwa risasi zaidi ya 30.
Leo hii kuna mpango anyongwe ...
Damu ya Tundu Lissu italeta katiba mpya, italeta uhuru wa kisiasa na mabadiliko makubwa
Maisha yanakwenda faster sana, wewe leo ndio umeanza kuongea hivi?Kila mtu anajua alishamwaga damu kwa kupigwa risasi zaidi ya 30.
Leo hii kuna mpango anyongwe ...
Damu ya Tundu Lissu italeta katiba mpya, italeta uhuru wa kisiasa na mabadiliko makubwa
Hongera kwa kuokoka na kuuona Ukweli, huyo kenge Stuxnet anajiona ameyapatia maishaAcha kujitoa fahamu we kibaraka cha mafisadi.
Usimjibu mtu kadri ya upumbavu wake usijekuwa sawa na yeye (Mithali 26:4)Acha kujitoa fahamu we kibaraka cha mafisadi.
Tundu ataishia kuwa Kiongozi wa CHADEMA tu, hiyo ya Urais wa Tanzania ni ndoto ya mwendawazimuNaiona Tanganyika hiyoo inakuja, si mbali ni karibu - Tanganyika mpya yenye HAKI, USAWA na UPENDO baina yetu.
Lissu ndiye Jibu sahihi - KATAA WAHUNI.
Saws pimbi Determinantor tumekusikiaHongera kwa kuokoka na kuuona Ukweli, huyo kenge Stuxnet anajiona ameyapatia maisha
AMINAKila mtu anajua alishamwaga damu kwa kupigwa risasi zaidi ya 30.
Leo hii kuna mpango anyongwe ...
Damu ya Tundu Lissu italeta katiba mpya, italeta uhuru wa kisiasa na mabadiliko makubwa