Damu ya usaliti wa CHADEMA imewamaliza 2020

Kwani ninibwaliwahi kupitishabhao wapinzani Bajeti zote walizipinga na kutoka njeee .....Yaani kinachoniuma mimi ni hii pesa ya UCHAGUZI imepotea buraaaa
 
Huyu aliambiwa siku nyingi harudi Bungeni ni kiburi chake tu ndio kimemponza. Wakati wake wa juu ulikuwa gari lake liliposukumwa pale Ubungo . Imekula kwake, wasaliti kama hawa hii ndio dawa yao.
 
Wale maadui watatu wa taifa bado wangalipo na wanaonekana kuzidi kujiimarisha zaidi hasa huyu ignorance'ujinga' amezidi kujidhihirisha kupitia mtoa Post... Tusimame kwa pamoja tuwashinde hawa mahasimu wetu😑
 

Eti, eti.eti, eti, sasa, sasa, sasa, sasaaaa. Kuwadi wa ushoga Tanzania chali mbende mbende. Lissu alivyokuwa anapigia mahesabu kufanya biashara ya kuuza kama vyuma chafu materials zilizojengea miundo mbinu imekula kwake.


Shime shime wazalendo wa Taazania kibaraka huyu wa mababeberu na mashoga asitoroke nchi atatuletea usumbufu usio wa lazima atakapoenda kupayukia hovyohovyo huko kwenye vyombo vya habari vya mabeberu.

Wapotoshaji wote waliojitokeza wakati wa kampeni walipie gharama ya matendo yao. Haiwezekani mtu mzima na midefu iliyojificha kwenye gagulo lake anawahadaa wananchi kwa kauli ya hatutakula miuondo mbinu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana wana kigoma

Huyu si ndio alikua anazunguka duniani kukataza pesa ya elimu isiingie Tanzania

Mmemtendea haki kwa kweli

Wanasiasa vibaraka wa wazungu wajue hakuna mkubwa Tanzania kuliko watanzania wenyewe
Sasa tuone kuroga kwake kupooo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
A

Aende kwa mabwana zake wakampe ubunge. Wananchi tumemkataa
Safi Sanaa Jamaa alitingisha sanaaa Enzi zake.

Ila tutamiss Sana kwenye headlines za Magazeti kuhusu mikwara yakee
 
Tena hujifanya mtu wa kusoma vitabu kila mwaka anasoma nusu ya Library sasa nadhani atakuwa na muda wa kutosha kusoma vitabu vyake[emoji23][emoji23][emoji23]
Vitabu vya kiingereza 😁😁😁😁😁
 
Ndioo asaivi sijui ruzuku itakuwa beigani ya ACT hahahhahaaa [emoji23][emoji23]

Msaliti sio mtu mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…