Damu ya usaliti wa CHADEMA imewamaliza 2020

Damu ya usaliti wa CHADEMA imewamaliza 2020

Tena hujifanya mtu wa kusoma vitabu kila mwaka anasoma nusu ya Library sasa nadhani atakuwa na muda wa kutosha kusoma vitabu vyake[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahaha Zitto Anataka Kukuza Chama Chake Lakini Kitendo Cha Kuwafuata Fuata Fc Pingapinga Ndo Kinamuharibia Sana! Zitto Anabaki Kwenye Kundi La Panya Buku Anavuna Anachokipanda.
 
Mleta mada umenena sawia sema haiondoi ukweli kwamba kura zimeibwa pamoja na yote hayo.
 
Siasa Imeejaa Unafiki. Lowasa Kwenda Chadema Ilikuwa Mbaya Ilikuwa Nzuri Pia. Ilikuwa Mbaya Sababu Waliwaza Watamsafisha Vipi Maana Alikuwa Na Mavi Mwili Mzima. Lakini Ilikuwa Nzuri Sababu Lowasa Alikuwa Na Nguvu Na Wakati Ule Watz Walipoteza Imani Yao Kwa Ccm Wakaona Bora Waende Na Fisadi Mamvi. Na ukweli Lowasa Alijaribu Kitu Ccm Wanajua Kama Leo Hii Ingekuwa Lowasa + Membe Upinzani Tungekuwa Tunajadili Mengine. Sasa Huyu Lissu Hana Rafiki Kuanzia Kwenye Vyombo Vya Usalama, Hana Marafiki Walioweka Mizizi Ndani Ya Ccm. Sasa Chadema Wanaanzaje Kushinda Urais Ni Ndoto Za Mchana Hazina Maana

Nakubaliana na wewe kuibomoa CCM lazima itokee from within. Wapinzani watafute namna ya kujipenyeza humo kama virus.
 
Ni Kaburu tu hata ukiwa mweusi kama chungu.
 
Maccm bila polisiccm na tume fake ni wepesi sana kinachohitajika ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi watapigwa chini tena anguko litakuwa kubwa sana. Hizi hadithi za ili kuweza kuibomoa ccm lazima iwe from within ni hadithi za Abunuwas.
Nakubaliana na wewe kuibomoa CCM lazima itokee from within. Wapinzani watafute namna ya kujipenyeza humo kama virus.
 
Ni mapungwani (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM wameshinda uchaguzi huu wa 2020.

We Utakuwa wa kwanza. Kwa hoja zipi hasa unadhani Lissu angeshinda. Ukiwa mjinga basi at least uwe logical.
 
Salute kwa watanzania. Wametuma salamu kwa mabeberu kwamba damu aliyouacha mwalimu haichezewi.

Ni kweli kabisa haichezewi.
Screenshot_20201031-060813.png
 
Back
Top Bottom