Damu ya usaliti wa CHADEMA imewamaliza 2020

We mwenyewe unajua kuwa ni ujambazi tu umetumika.

Ila hongera
 
Tunasubiri kawe na arusha mjini ili sisi CCM tumalize kazi.
 
Tulishasema sana humu Chadema ikipata hata viti vitano vya wabunge basiwashukuru sana.
 
Kweli kabisa. Damu yenyewe hii hapa:



 
Rudisheni bunge live sasa maana mmebaki pekee yenu
 
Haya mnayo yaona leo ni matokeo ya mtu mmoja Mbowe ya kumleta Lowasa Ukawa,hili lilikuwa bonge la kosa ambalo kwa mtu makini kabisa kwa kosa lile alitakiwa ajihudhuru, ila Mbowe anadunda, untouchable, ukimkosoa humu watu wanakushambulia.


Nilikiwa mwanasiasa kindakindaki wa CHADEMA chuo kuanzia 2009,ila baada ya Lowasa kuingia nilikaa pembeni,nikabezwa,nikapondwa baada ya UKAWA kupata viti vyingi bungeni,ila baada ya wabunge kuanza kurudi CCM ,kuna watu niliwaambia 2020 hali itakuwa mbaya sana na leo tuna yaona.

CHADEMA mlivyo mleta Lowasa UKAWA na kujiamini kwamba mpo imara,kumbe mliacha nyumba yenu mliyokuwa mnaijenga kidogo kidogo kwenye mwamba na kwenda kujenga kwenye mchanga kisa tu kuna urahisi.Sasa angalieni leo mnayo yapata ni haki yenu hamjaibiwa hata kura moja.

CHADEMA mkitaka kusimama tena mnabidi muanze upya mfumue chama chote na mkijenge CHAMA kupitia vijana wenu na watu wenu mlio waandaa nyinyi na si kunyakua wanasiasa kutoka CCM na mnatakiwa kiwaamini watu wenu
 
Umeandika kwa uchungu sana najisikia kulia barikiwa sana mkuuu
 
MALIPO YA DHULUMA NI LAANA NA KIFO

LAANA YA MUNGU IWAPATE WOTE WALIOSHINDA KWA DHULMA NA WIZI

BARAKA ZA MUNGU ZIAMBATANE NA WALIOSHINDA KIHALALI NA WALIO TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI
 
Usinikumbushee Mama D maana naweza tapika tenaa etii

Ahhahahahahahahah ngoja asaivi atulie na mkewe walee watoto
 
Sasa lichama linasupport ushoga unategemea nini, imradi wapinge tu
 
Maneno makali sana.
mnataka kujidai kutusemea,mnasema msichokijua.
 
Kichwa yako imejaa kamasi na usaa
 
Kama hujui yaliyofanyika utakuwa na uwezo mdogo sana
Visingizio hamkosi kama kawaida yenu.

Si mlisema mtalinda kura nini kimewashinda?

Haya sasa kama mmeibiwa kura mnangoja nini kuingia barabarani.
Si mlisema hamtakubali? Nini kimetokea?
Tukiwaambia mambo field ni tofauti hamtaki. Oneni aibu iliowapata sasa!

Kila siku tuliwaambia wapiga kura hawako mitandaoni. Eti oooh kwani ...

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Tulishinda vita kubwabkubwa bila upinzani ujue!

1,tulimchapa IDI AMINI WA UGANDA
2.Tulimsambaratisha Acasia Goldmine
3.tumeikimbiza Corona,bila kuwepo nyie bungeni
NB .uwa tukiwa peke yetu akili uwa inatulia sana
Nasikia hata mahabara za utafiti uwa haziruhusu kelele
 

Siasa Imeejaa Unafiki. Lowasa Kwenda Chadema Ilikuwa Mbaya Ilikuwa Nzuri Pia. Ilikuwa Mbaya Sababu Waliwaza Watamsafisha Vipi Maana Alikuwa Na Mavi Mwili Mzima. Lakini Ilikuwa Nzuri Sababu Lowasa Alikuwa Na Nguvu Na Wakati Ule Watz Walipoteza Imani Yao Kwa Ccm Wakaona Bora Waende Na Fisadi Mamvi. Na ukweli Lowasa Alijaribu Kitu Ccm Wanajua Kama Leo Hii Ingekuwa Lowasa + Membe Upinzani Tungekuwa Tunajadili Mengine. Sasa Huyu Lissu Hana Rafiki Kuanzia Kwenye Vyombo Vya Usalama, Hana Marafiki Walioweka Mizizi Ndani Ya Ccm. Sasa Chadema Wanaanzaje Kushinda Urais Ni Ndoto Za Mchana Hazina Maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…