Siasa Imeejaa Unafiki. Lowasa Kwenda Chadema Ilikuwa Mbaya Ilikuwa Nzuri Pia. Ilikuwa Mbaya Sababu Waliwaza Watamsafisha Vipi Maana Alikuwa Na Mavi Mwili Mzima. Lakini Ilikuwa Nzuri Sababu Lowasa Alikuwa Na Nguvu Na Wakati Ule Watz Walipoteza Imani Yao Kwa Ccm Wakaona Bora Waende Na Fisadi Mamvi. Na ukweli Lowasa Alijaribu Kitu Ccm Wanajua Kama Leo Hii Ingekuwa Lowasa + Membe Upinzani Tungekuwa Tunajadili Mengine. Sasa Huyu Lissu Hana Rafiki Kuanzia Kwenye Vyombo Vya Usalama, Hana Marafiki Walioweka Mizizi Ndani Ya Ccm. Sasa Chadema Wanaanzaje Kushinda Urais Ni Ndoto Za Mchana Hazina Maana