Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Ni kweli Loliondo inamilikiwa na wageni kwa ajili ya uwekezaji kwa muda mrefu na inatokana na mapungufu ya sheria yetu kutoweka fixed term hivyo walitumia weakness ya sheria yetu wakamilikishwa kwa muda mrefu nasikia ni miaka 50 au zaidi sina uhakika na terms.
Ni 99 ,sheria isha badilika, wawekezaji hipewa aridhi kwa miaka 99
 
Sheri ipi? Hawa wanakodishiwa kwa miaka 99, huyu amebakiza miaka kama 98 na hio aridhi, ndio maana na yeye ana kodisha au kubinasifisha tena kwa pesa ndefu kuliko alivyo kodishiwa yeye
Kama itakuwa hivyo basi kuna tatizo kubwa inabidi tuziangalie sheria zetu upya may be kuna loophole inabidi tuzizibe mapema kabla hatujaumia zaidi.
 
Sasa Zanzibar imeingiaje hapa tena?
Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
 
Ni 99 ,sheria isha badilika, wawekezaji hipewa aridhi kwa miaka 99
Ngoja nitafanya research ya sheria kama imebadirika kiasi hicho mimi nilivyokuwa nafahamu wawekezaji wanapata ardhi kupitia sheria ya uwekezaji na wala si chini ya sheria ya ardhi.
 
ninavyo jua na mimi ni miaka 99
 
Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
Mbona kwenye mada hapo juu sioni hayo maneno? Ya kwamba " hatutarudia makosa kuwapa wazanzibar uongozi wa juu wa nchi" Au yamefutwa?
 
Sasa Zanzibar imeingiaje hapa tena?
Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
 
Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
Utakuwa na matatizo ya akili au uko bar unalewa!!?
 
Ni kweli Loliondo inamilikiwa na wageni kwa ajili ya uwekezaji kwa muda mrefu na inatokana na mapungufu ya sheria yetu kutoweka fixed term hivyo walitumia weakness ya sheria yetu wakamilikishwa kwa muda mrefu nasikia ni miaka 50 au zaidi sina uhakika na terms.
hahahaha,kama wanamiliki ,kwann ushangae kwa huyu?
 
Nafikiri ni wawekezaji tu sidhani kama ni wamiliki wa ardhi hiyo kwa kuwa sheria yetu ya ardhi bado hairuhusu ardhi kumilikiwa na mgeni bali mwekezaji tu kwa masharti.
Unauhakika na unlichoongea mkuu, kuna mwanamziki wa congo ana nyumba ya orofa sio moja ndani ya jiji, kuna mwingine alileta kisa hapa amejenga na keshamisha familia yake nzima kuja tz
 
Sijakataa mtu kwenda kinyume na sheria lakini ikigundulika ananyang'wa mara moja nafikiri unakumbuka yule mhindi ambaye ailigundulika alikuwa na uraia wa UK alinyang'anywa ardhi huko Mwanza.
 
Back
Top Bottom