Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Tulia baba
Mipori iko ekari na ekari na haileti tija yoyote. Ni heri mtu atoe bilions zisaidie kwenye elimu na afya.
Mpaka leo Tanzania kuna vijiji ukiomba ardhi unapewa mapana tu marefu utajipimia mwenyewe bure kabisa.
Broo mwaka jana kijiji kimoja Liwale walimpa hekari 4 upana, urefu atajua yeye mwenyewe.
we jamaa ni mpuuzi sana, unawaza ulipo huwazi future, huwazi kizazi chako unawazia tumbo lako tu, damn !ungekua karibu ungenitambua
 
we jamaa ni mpuuzi sana, unawaza ulipo huwazi future, huwazi kizazi chako unawazia tumbo lako tu, damn !ungekua karibu ungenitambua
Kwahiyo ukiwaza future ndio uache hayo mapori yawe unproductive? Kuna game reserves, Camps and lodges kibao huko Serengeti watu wanaenda kula maisha kila leo kwa dollar 1000-5000 per head per night!. Ni mimi na wewe ambao hatujazishika chapaa ndio unashtuka kusikia watu wanamiliki acres of lands in Serengeti wilderness. FYI hizo game reserves and tented camps zipo toka wakati wa Mkapa so acheni uchuro wa kumrushia Mama matope
 
Kwahiyo ukiwa za future ndio uache hayo mapori ya kuwa unproductive? Kuna game reserves, Camps and lodges kibao huko Serengeti watu wanaenda kula maisha kila leo kwa dollar 1000-5000 per head per night!. Ni mimi na wewe ambao hatujazishika chapaa ndio unashtuka kusikia watu wanamiliki acres of lands in Serengeti wilderness. FYI hizo game reserves and tented camps zipo toka wakati wa Mkapa so acheni uchuro wa kumrushia Mama matope
huna akili
 
aliyekutwa na ngozi ndiye mla nyama
Hata wew unaweza kumiliki camp Serengeti mkuu. Kuna wazawa kibao wana camps huko mbugani wengine kwa kushirikiana na wazungu na wageni. Usichokijua ni kuwa utalii unaingizia nchi pesa nyingi kuliko madini na sekta nyinginezo. Utalii ni zaidi ya dhahabu na almasi
 
Back
Top Bottom