Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Mtanzania marufuku kumiliki ekari 100
Ila mzungu anamiliki mpaka Watanzania na wanyama pia waliomo kwenye hifadhi

Sasa tuna tofauti gani na hao panzi
Mm namjua mtanzania anamiliki ekari 1,200 mkoa wa Lindi, na kamilikishwa na Halmashauri kabisa.
 
Weuh!
Pia ni mmiliki halali wa pori la akiba la MWIBA.

Wanaojua kuhusu huyu jamaa watupe details anafanya biashara gani na ardhi kubwa kiasi hicho?
View attachment 2610500
CCM kwa kufanya mambo mambo kimbinu mbinu ndo wenyewe sasa.

Makamu Mwenyekiti Taifa ndo mambo zake hayo.

Mshika remote hamtagusa kwenye hili kwa sababu yeye hupelekewa chakula upenuni
 
Mtanzania marufuku kumiliki ekari 100
Ila mzungu anamiliki mpaka Watanzania na wanyama pia waliomo kwenye hifadhi

Sasa tuna tofauti gani na hao panzi
Wa Tanzania hawana mitaji, na jingine wenye mitaji Tanzania wanapenda kuwekeza kwenye short term projects, kama kununua ma basi kujenga guest, kijenga bar malori nk. Ila huyu anawekeza faida anaipata baada ya miaka 50 au 100.
 
Amezinunua mda si mrefu hazikuwa zake
6C676DA0-5F7E-40B5-99E1-61A6BF2A9FE9.png
 
Wa Tanzania hawana mitaji, na jingine wenye mitaji Tanzania wanapenda kuwekeza kwenye short term projects, kama kununua ma basi kujenga guest, kijenga bar malori nk. Ila huyu anawekeza faida anaipata baada ya miaka 50 au 100.
Kweli kabisa mkuu
Uwekeezaji wetu ni mdogo sana na mtu mwenye mabasi tu anaonekana tajiri mkubwa sana

Huyu mzungu hela zipo na ameona zimelala tu Bora awekeze kwenye land na inawezekana kapata kwa bei rahisi sana compare na ardhi yao [emoji631]

Wao wakipata ardhi kwao wanaweka viwanda vikubwa au machimbo ya mafuta au hata Ranch za ng'ombe ambapo unakuta mtu ana ng'ombe hata 1m

Sasa hapo litakuwa pori tu alilowekeza na atakaeingia hapo shaba
 
Mpaka pale tutakapo badilika kimtizamo wa Tanzania wengi husasani wanasiasa wakipata pesa zìwe za dili au za kweli unakuta mtu anajenga jumba la ghorafa la kuishi worthy 1.5bn shilling, ili yeye na mke we pamoja na watoto watatu waishi, wakati hiyo 1bn anaweze kuwekeza kwenye umiliki wa aridhi karibia nusu kata au wilaya, ambao famila yake ita faidika zaidi na raia pamoja na serikali kwa kupata kodi.
 
Mpaka pale tutakapo badilika kimtizamo wa Tanzania wengi husasani wanasiasa wakipata zìwe za dili au za kweli unakuta mtu anajenga jumba la ghorafa la kuishi worthy 1.5bn shilling, ili yeye na mke we pamoja na watoto watatu waishi, wakati hiyo 1bn anaweze kuwekeza kwenye umiliki wa aridhi karibia nusu kata au wilaya, ambao famila yake ita faidika zaidi.
Tatizo la wanasiasa mkuu, wanaiba hela sana halafu wanaogopa kufanya vitu vikubwa kwa sababu ya usimamizi

Na hawezi kuandikisha mtu kwa kuhofia kupigwa ingawa yeye mwenyewe kaziiba

Wapo waliokwapua hela na kuwekeza kwa matajiri wakubwa ila sio waswahili [emoji1]

Siku wakikubali diaspora wawekeze kama Wazawa nafikiri watu watakuja kuwekeza huko na mimi nikiwemo
 
Weuh!
Pia ni mmiliki halali wa pori la akiba la MWIBA.

Wanaojua kuhusu huyu jamaa watupe details anafanya biashara gani na ardhi kubwa kiasi hicho?
View attachment 2610500
Hii Mwiba game reserve iko wapi? Halafu sidhani kama hii taarifa ni sahihi.

Game reserve huwa zinatolewa kwa kampuni za uwindaji kwa kukodishwa na siyo kumiliki.

Kwa mfano Selou game reserve kuna hunting block zaidi ya 10 na eneo lingine Magufuli skaamuru lifanywe National park na liondolewe kuwa game reserve.

Asiyekuwa maana ya game reserve ni kwamba ni vitalu vya uwindaji, mmiliki ni serikali hakuna mwenye uwezo wa kuuza hizo game reserve, ukishindwa unarudisha serikalini au serikali ikiamuwa inachukuwa au Rais ana mamlaka ya kutangaza kuwa National park na shughuri za uwindaji zinakoma rasmi.

Bado Nina mashaka na taarifa hii haiko sawa.
 
Back
Top Bottom